Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu
" Wakati watu wamegubikwa na simanzi kuhusu hatma ya nchi..kuna wengine hawana hata habari wanajinafasi tu kwa raha zao! "

Woman of substance akichangia katika mtoto wa kitanga anahitajika
 
Kama ni ku..j..mba basi CCM imepata m...j...mb..ji

-Mheshimiwa Mbowe akitoa comments baada ya Makamba kupewa ukatibu mkuu wa CCM
 
"Kama serikali imeweza kutenga kiasi cha billioni 21 kama stimulus package kwa makampuni 50, then nafikiri huu ndio wakati muafaka wa CWT na chama cha wauguzi kuingia kwenye mgomo,mpaka na wao waingizwe kwenye huu mgao, kumaliza malimbikizo yao ya mishahara tangu enzi za mwalimu"

Mafuchila akichangia thread serikali kufidia makampuni 50 yaliyoathirika na mtikisiko wa uchumi.
 
Tuache mchezo CCM wana ndoa na RUSHWA mpaka kifo kitakapowatenganisha!!

Mkereme akichangia thread Mapambano dhidi ya ufisadi wapi tunafanya makosa
 
Msihiiri; "There is nothing wrong with America that cannot be cured by what is right with America."
Bill Clinton (1946 - ) This quotation doesn't help any Tanzanian unless you are a puppet of Americans and you want to propagate their ideology. Highlighted words are very subjective beig hidden in american culture, of which do repel from ours. To walk naked, homosexual, church to campaign for leadership, class exploitation and descrimination just to mention a few! Is that the right you mean! Is that you claim nothing is wrong?
 
Miafrika bwana kwa kuiga!, mie nilifikiri mnataka kuthamini michango ya wana JF na kuitambua tamathali za semi mbali mbali za wanachama humu ndani. Kumbe sivyo bali ku google na kuweka semi za watu mbalimbali!!!?

Haiongezi tija hii..

Yaani!
Hata mimi nilidhani ingekuwa fursa kupitia michango JF na kuona kama kuna semi za kunukuliwa.....ni lini tutakuwa na quotes zetu wenyewe badala ya kuwa quote kina Einstein, Roosevelt,Openheimer,hizi si kila mtu anaweza ku google n akupata kwa mamilioni? What is the value addition kwenye hili?
 
"We all love to spend lots of money on buying new clothes, but we never realize that THE BEST TIMES ARE ENJOYED WITHOUT CLOTHES" - {Professor H. Nyazaya, University of Lagos}

Miafrika bwana kwa kuiga!, mie nilifikiri mnataka kuthamini michango ya wana JF na kuitambua tamathali za semi mbali mbali za wanachama humu ndani. Kumbe sivyo bali ku google na kuweka semi za watu mbalimbali!!!?

Haiongezi tija hii..

Yaani!
Hata mimi nilidhani ingekuwa fursa kupitia michango JF na kuona kama kuna semi za kunukuliwa.....ni lini tutakuwa na quotes zetu wenyewe badala ya kuwa quote kina Einstein, Roosevelt,Openheimer,hizi si kila mtu anaweza ku google n akupata kwa mamilioni? What is the value addition kwenye hili?
Kwanini mme-assume hakuna apendae quotes toka kwenye google ziwekwe hapa?

Haya, nawawekea quote ya member wa JF. Hii ni mahususi kwa ajili yenu (FairPlayer na WomenofSubstanc).

Kidatu nina maana, kama hilo wazo lako ambalo ni zuri badala ya kufikiria kuna mtu atafanya unachopendekeza wewe mwenyewe fanya.

....Lakini hilo ni wewe ukitaka kufanya usidhani kuna mtu mwingine atafanya ndiyo maana nasema neno "tu" kama "tufanye hivi" liondoe.. weka neno "ni" kama "nifanye hivi"..

Mwenzio ndio nimejifunza hivyo, what I want to do, I go and do it..

Click hiyo quotation mark
12n2_01on.png
hapo juu kufuatilia Mwanakijiji alikuwa anazungumzia nini.
 
wnaniamsha usingizini wanipe dawa ya usingizi-Mwana-FA (bado niponipo)
 
" mwisho tutashinda, nguvu ya Wananchi hakuna wa kuizuia pale tutakaposema wote sasa BASI!."

Mfumwa akichangia katika: Mfuko wa Kuchochea Maendeleo ya Jimbo CDCF
 
"Haki na hadhi yetu itarudi pale tutakapoamua kwa sauti moja iliyo kubwa na kishindo kuwa tumechoka kunyonywa, kunyanyaswa na kudharauliwa."

REV Kishoka on tumeuza uhuru wetu naHazina yetu tumeifuja
 
Hivi ni kwa nini tunawaogopa wawekezaji kama Mama Mkwe?DR. Harrison Mwakyembe
 
Viongozi wa EWURA wanajua kwamba pale Kibaha ndio watu wanachanganya mafuta, wanajua hata namba zao za simu, kama hawawezi kuwachukulia hatua basi wawapishe watu wengine! Hapa naseme wazi kwamba nawapa miezi mitatu msiporekebisha nitakuja na motion hapa! Kama ni mshiko ndio unawapa tabu mfumbe macho!"Dr Harrison Mwakyembe-Bungeni Dodoma 28/July/2009
 
Mwalimu Nyerere machweo ya vita vya Uganda na Tanzania "... nia tunayo, sababu tunayo na uwezo tunao..." wa kumpiga nduli.
 
...Refa anapogeuka kuwa mchezaji, tena akakamata jezi ya mchezaji wa timu moja asipige bao, au refa anapoamua kukwatua hivi hivi wazi wazi, ujue maji yamezidi unga.
X-PASTER- JF Member

Wabunge waliopo bungeni hawastahili kurudi katika wadhifa huo 2010 kutokana na kuwa wababaishaji na kutotea maslahi ya Watanzania.

Bubu Ataka Kusema
-JF Member
 
Miafrika ndivyo tulivyo - Nyani ngabu, JF Member
 
ukiona mtu kanawa mikono basi huyo ameshiba. Bonge wa clouds FM
 
Yaani!
Hata mimi nilidhani ingekuwa fursa kupitia michango JF na kuona kama kuna semi za kunukuliwa.....ni lini tutakuwa na quotes zetu wenyewe badala ya kuwa quote kina Einstein, Roosevelt,Openheimer,hizi si kila mtu anaweza ku google n akupata kwa mamilioni? What is the value addition kwenye hili?

haya bibie na huu nao ni wa wazungu?
"""ukikuta manyoya ujue keshaliwa"""
unajua msemo huo una maanisha nini?
 
Back
Top Bottom