Ngambo Ngali
JF-Expert Member
- Apr 17, 2009
- 3,517
- 1,363
Miafrika bwana kwa kuiga!, mie nilifikiri mnataka kuthamini michango ya wana JF na kuitambua tamathali za semi mbali mbali za wanachama humu ndani. Kumbe sivyo bali ku google na kuweka semi za watu mbalimbali!!!?
Haiongezi tija hii..

Yaani!
Hata mimi nilidhani ingekuwa fursa kupitia michango JF na kuona kama kuna semi za kunukuliwa.....ni lini tutakuwa na quotes zetu wenyewe badala ya kuwa quote kina Einstein, Roosevelt,Openheimer,hizi si kila mtu anaweza ku google n akupata kwa mamilioni? What is the value addition kwenye hili?
Kidatu nina maana, kama hilo wazo lako ambalo ni zuri badala ya kufikiria kuna mtu atafanya unachopendekeza wewe mwenyewe fanya.
....Lakini hilo ni wewe ukitaka kufanya usidhani kuna mtu mwingine atafanya ndiyo maana nasema neno "tu" kama "tufanye hivi" liondoe.. weka neno "ni" kama "nifanye hivi"..
Mwenzio ndio nimejifunza hivyo, what I want to do, I go and do it..