britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Nimekuwa nikizisoma quotes mbalimbali za watu maarufu Duniani sasa wewe mwanaJf naomba uweke "msemo" wako hapa tuujue[emoji23][emoji23][emoji23]
Mie: "Mwalimu bora ni mwanafunzi wa muda wote"
[emoji125][emoji125][emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app

Duuh. Shikamoo Mkuu."MBELE huchezi NYUMA hutikisiki" (Nzuri Pesa Feb 2019)
"Akhera wanauliza utakwenda lini, DUNIANI wanauliza Utaondoka lini"
(Nzuri Pesa Feb 2019)