Hii ni moja ambayo ni bomba, Too much of anything is harmful kuna mifano mingi sana inaendana na kauli hii. Kama yule Mnigeria aliyeingia kwenye mashindano na girlfriend kutaka kujua ni nani kati yao ana ubavu wa kufanya mapenzi kwa muda mrefu. ME baada ya kukojoa mara 7 akaded eti unataka kushindana na papuchi uikomoe. Jipigie zako viatu vinne ufunike ukiendelea unajitafutia balaa 😂😂😂😂😂

 
Nafanya modifications kidogo what if tukisema 'too much of harmful things is harmful"
 
Reactions: BAK
Be a change you want to see in the society by Mahatma ghandi...

You only live once but if you do it right ,once is enough by unkown

Don't claim for your rights before you fullfill your responsibilities by unknown

I ether win or learn, I never loose by Nelson Mandela

It always seem impossible till it's done by Nelson Mandela

We can't all do great things but we can all do small things with great love by mother Theresa

Zipo nyingi ila hizi ni mojawapo nzuri kwa upande wangu
 
Inaweza ikawa ni kitu harmful kwa mfano pombe. Nina rafiki yangu mpenzi yeye popote tutakapokuwa hata kama pamechangamka vipi atakunywa bia mbili tu kisha anarudi kwenye vyoda. Niliwahi kumuuliza kwanini anafanya hivyo. Akanijibu nayajua madhara ya pombe sitaki ninywe mpaka nipitilize nianze kufanya mambo ya ajabu hadharani kesho yake nikiambiwa nianze kujutia.

Kugegeda is not harmful at all, drinking beers is not harmful both are very enjoyable experience BUT in MODERATE.

Nafanya modifications kidogo what if tukisema 'too much of harmful things is harmful"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…