FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,060
Hiyo nayo kali!Nyingine hii hapa LEO NI KESHO ULIO IHOFIA JANA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo nayo kali!Nyingine hii hapa LEO NI KESHO ULIO IHOFIA JANA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watazibangua hata kwa meno
Salamu!
Kumekuwa na nukuu mbalimbali ama kwa lugha ya Kiingereza 'Quotations' hasa kutoka kwa watu maarufu ambazo zinafahamika sana huku zingine zikionekana kama hazina maana yeyote ama zingine zina ujumbe uliofichwa kiasi kwamba pengine unahitaji uwe 'Great Thinker' ndio uweze kung'amua maana zake la sivyo utaishia kutoka kapa.
Kuna baadhi ya nukuu huwa zinafikirisha sana ingawa kwa wengine zinaweza kuwa kama upuuzi huku upande fulani wakiona kuwa zina maana fulani ambayo si yakuidharau na zinakufanya ufikirie sana kwamba ni kwanini muhusika aliamua kuzungumza vile. Mifano yake ni hizi hapa;
- "If you want to steal, steal a little in a nice way. But if you steal too much to become rich overnight, you'll be caught". - Mobutu Sésé Seko kuku ngbendu wa za Banga
Kwa kiswahili, Mobutu Sésé Seko aliwahi kusema kwamba "Ukitaka kuiba, basi iba kidogo kidogo na kwa njia nzuri lakini ukiiba sana uwe tajiri kwa usiku mmoja, utakamatwa tu"
Nukuu nyingine hii hapa;
- "The only white man you can trust is a dead white man". - Robert Mugabe
Mugabe aliwahi kusema kwamba "Mtu mweupe (Mzungu) pekee wa kumuamini ni mtu mweupe aliyekufa"
Kuna nyingine nyingi tu kama;
Naam! hizo ni baadhi tu ya nukuu zenye jumbe za kufikirisha sana kutoka kwa watu mbalimbali maarufu waliowahi kuwepo hapo zamani na waliopo hivi sasa ambao walitoa mawazo yao tu kutokana na maswala mbalimbali waliyokutana nayo katika maisha yao ila jukumu la kukataa ama kukubaliana ni hicho walichokizungumza linabaki kuwa ni la mtu binafsi.
- Everything has its limit, Iron ore cannot be educated into gold. (Mark Twain)
- The difference between stupidity and genius is that genius has its limits. (Albert Einstein)
- An intelligent hell would be better than a stupid paradise. (Victor Hugo)
Just chase Money, you will get both.And you can't chase both simultaneously. Am I right?
Watapata tabu sana!" RPC MROTO."tutapiga mpaka mashangazi zenu"- unknown
Nafanya modifications kidogo what if tukisema 'too much of harmful things is harmful"Hii ni moja ambayo ni bomba, Too much of anything is harmful kuna mifano mingi sana inaendana na kauli hii. Kama yule Mnigeria aliyeingia kwenye mashindano na girlfriend kutaka kujua ni nani kati yao ana ubavu wa kufanya mapenzi kwa muda mrefu. ME baada ya kukojoa mara 7 akaded eti unataka kushindana na papuchi uikomoe. Jipigie zako viatu vinne ufunike ukiendelea unajitafutia balaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ukitaka kula,ni lazima nawewe uliwe by jk.
sijajua kiingereza inakaaje hii.
Nafanya modifications kidogo what if tukisema 'too much of harmful things is harmful"
Exactly!"Stars can't shine without darkness"
Mh! It depends. Sometimes the vice versa is more important.It is more important to do things right than doing right things.
watazibangua hata kwa meno