Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu
Hii ni moja ambayo ni bomba, Too much of anything is harmful kuna mifano mingi sana inaendana na kauli hii. Kama yule Mnigeria aliyeingia kwenye mashindano na girlfriend kutaka kujua ni nani kati yao ana ubavu wa kufanya mapenzi kwa muda mrefu. ME baada ya kukojoa mara 7 akaded eti unataka kushindana na papuchi uikomoe. Jipigie zako viatu vinne ufunike ukiendelea unajitafutia balaa 😂😂😂😂😂

Salamu!

Kumekuwa na nukuu mbalimbali ama kwa lugha ya Kiingereza 'Quotations' hasa kutoka kwa watu maarufu ambazo zinafahamika sana huku zingine zikionekana kama hazina maana yeyote ama zingine zina ujumbe uliofichwa kiasi kwamba pengine unahitaji uwe 'Great Thinker' ndio uweze kung'amua maana zake la sivyo utaishia kutoka kapa.

Kuna baadhi ya nukuu huwa zinafikirisha sana ingawa kwa wengine zinaweza kuwa kama upuuzi huku upande fulani wakiona kuwa zina maana fulani ambayo si yakuidharau na zinakufanya ufikirie sana kwamba ni kwanini muhusika aliamua kuzungumza vile. Mifano yake ni hizi hapa;

  • "If you want to steal, steal a little in a nice way. But if you steal too much to become rich overnight, you'll be caught". - Mobutu Sésé Seko kuku ngbendu wa za Banga

Kwa kiswahili, Mobutu Sésé Seko aliwahi kusema kwamba "Ukitaka kuiba, basi iba kidogo kidogo na kwa njia nzuri lakini ukiiba sana uwe tajiri kwa usiku mmoja, utakamatwa tu"

Nukuu nyingine hii hapa;

  • "The only white man you can trust is a dead white man". - Robert Mugabe

Mugabe aliwahi kusema kwamba "Mtu mweupe (Mzungu) pekee wa kumuamini ni mtu mweupe aliyekufa"

Kuna nyingine nyingi tu kama;
  • Everything has its limit, Iron ore cannot be educated into gold. (Mark Twain)
  • The difference between stupidity and genius is that genius has its limits. (Albert Einstein)
  • An intelligent hell would be better than a stupid paradise. (Victor Hugo)
Naam! hizo ni baadhi tu ya nukuu zenye jumbe za kufikirisha sana kutoka kwa watu mbalimbali maarufu waliowahi kuwepo hapo zamani na waliopo hivi sasa ambao walitoa mawazo yao tu kutokana na maswala mbalimbali waliyokutana nayo katika maisha yao ila jukumu la kukataa ama kukubaliana ni hicho walichokizungumza linabaki kuwa ni la mtu binafsi.
 
Hii ni moja ambayo ni bomba, Too much of anything is harmful kuna mifano mingi sana inaendana na kauli hii. Kama yule Mnigeria aliyeingia kwenye mashindano na girlfriend kutaka kujua ni nani kati yao ana ubavu wa kufanya mapenzi kwa muda mrefu. ME baada ya kukojoa mara 7 akaded eti unataka kushindana na papuchi uikomoe. Jipigie zako viatu vinne ufunike ukiendelea unajitafutia balaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nafanya modifications kidogo what if tukisema 'too much of harmful things is harmful"
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Be a change you want to see in the society by Mahatma ghandi...

You only live once but if you do it right ,once is enough by unkown

Don't claim for your rights before you fullfill your responsibilities by unknown

I ether win or learn, I never loose by Nelson Mandela

It always seem impossible till it's done by Nelson Mandela

We can't all do great things but we can all do small things with great love by mother Theresa

Zipo nyingi ila hizi ni mojawapo nzuri kwa upande wangu
 
Inaweza ikawa ni kitu harmful kwa mfano pombe. Nina rafiki yangu mpenzi yeye popote tutakapokuwa hata kama pamechangamka vipi atakunywa bia mbili tu kisha anarudi kwenye vyoda. Niliwahi kumuuliza kwanini anafanya hivyo. Akanijibu nayajua madhara ya pombe sitaki ninywe mpaka nipitilize nianze kufanya mambo ya ajabu hadharani kesho yake nikiambiwa nianze kujutia.

Kugegeda is not harmful at all, drinking beers is not harmful both are very enjoyable experience BUT in MODERATE.

Nafanya modifications kidogo what if tukisema 'too much of harmful things is harmful"
 
Back
Top Bottom