Varys alikuwa kichwa sana.
Ila kwa watu wenye michezo mitamu, michafu.... Baelish alikuwa fish master nilikuwa namuelewa pia.
Spirit ya Arya stark nilipenda dogo alikuwa anajituma mno n Konk lady. Kuvutiwa kimuonekan i. Sansa was my favorite lady (thou alikuwa boya kichwa maji sometimes)
ii. Mother dragon, was hot huh.
Ila sijui why KHAL DRAGO alikufa, jamaaa alikuwa konki sana.
Mimi nilikuwa sipendi sana Warriors kama akina Khal Drogo nilipenda zaidi politicians, hasa wale master wa political games, waliokuwa wakiilifanya game of thrones kuwa "Game" inayososimua
Na wachezaji wazuri wa game ya siasa top 5 yangu ni hii
1. Alikuwa little finger, sema alikuwa too dirty so ilifanya nisimpende japo alichangia sana Game kuchangamka
Littlefinger ndio alianzisha vita ya five Kingdoms kwa kumuua Jon Arryn kwa sumu, kum set Ed Stark hadi akagundua uchafu wa Cersei na Jaime kuzaa pamoja, alichochea pia ugomvi wa Starks na Lanisters kwa kujaribu kumuua Bran kisha kumsingizia Tyrion, alishirikiana na Cersei kutoa ushahidi wa kukamatwa kwa Tyrells na High Sparrow, kisha baadae akashirikiana na Olena kutoa ushahidi uliowezesha kukamatwa kwa Cercei na High Sparrow, alim set Arya kugombana na Sansa kisha kujaribu ku set Sansa amuue Arya ila akashindwa na akauawa. Littlefinger alikuwa mchongamishi kuleta vita,na kutumia vita hivyo kwa manufaa yake ya kupata nguvu za kisiasa zaidi
2. Varys alikuwa anajua kucheza vizuri, hakuwa dirty ndio kimefanya akawa favorite character wangu. Varys alikuwa akijua michezo yote ya Lannisters na alijua watamuua King Robert muda si mrefu akamtahadharisha Ned, ika Ned alikuwa boya sana kujua, Varys ndio alikuwa akijua mbinu zote za Littlefinger
3. Cersei alikuwa anajua sana kucheza pia baada ya kuona wale Tyerlls wanataka kutawala kupitia ndoa ya Margery na Tommen, aliwapa faith millitants mamlaka ya kumiliki jeshi na kuwakamata tyrells, hatimaye wakaja kumkamata na yeye na kumtembeza uchi ila akaja kufanya kitu ambacho hakuna aliyefikiria, kulipua bomu liliowaua na kusababusha mwanae ajiue, zipo mbinu nyingi sana za cersei ila zilikuwa chafu za kibabe, so sikumpenda sababu hiyo
4. Lady Olena, alikua pua very skilled player, alishirikuana na Littlefinger kumuua King Joffrey ili mjukuu wake Queen Margery aoane na yule Tommen ambaye angekua ni rahisi kum controll na ku manipulate ili awe mtawala wa seven Kingdoms
5. Tyrion Lanniter, Skilled player mwingine anajua kucheza karata zake vizuri, alipochaguliwa kuwa acting Hand of King na baba yake alivyowatega Varys, Litefinger na Pycelle kujua ni yupi yupo upande wa Cercei, alibadilisha ile citywatch (polisi wa mji )na kuweka kamanda wa majeshi yake mwenyewe ili ajilinde na Cercei yasije kumkuta ya Nerd Stark, jamaa alikuwa master hadi Littlefinger akamchukua kwenda kuwa mshauri wa Daenerys ampe mbinu za namna ya kuchukua seven Kingdoms nilimpenda jamaa
Hao ndio top five yangu kwenye kucheza game ya siasa na mbinu
Wengine niliowapenda ni
Jon Snow japokuwa hakuwa na mbinu sana kwenye siasa, alikuwa mpiganaji na watu walimpenda sababu alikuwa fair
Ned Stark alikuwa fair sana ila ndio kilochomponza hadi akauawa, angetumia mbinu chafu kupambana na kina Cercei angeshinda
Queen Daenerys sikumpenda sana sababu ya ubabe mwingi na pia hakuwa na mbinu za siasa sana zaidi alisaidiwa na wale Dragons tu kushinda vita na magic nyingine, sema alifanifurahisha kwa kumuua Cersei
Varys alikuwa kichwa sana.
Ila kwa watu wenye michezo mitamu, michafu.... Baelish alikuwa fish master nilikuwa namuelewa pia.
Spirit ya Arya stark nilipenda dogo alikuwa anajituma mno n Konk lady. Kuvutiwa kimuonekan i. Sansa was my favorite lady (thou alikuwa boya kichwa maji sometimes)
ii. Mother dragon, was hot huh.
Ila sijui why KHAL DRAGO alikufa, jamaaa alikuwa konki sana.