Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu
Japokuwa sikupenda kutokana na mambo mengi ya uchawi na mijuiza miujiza, ila overall ni series nzuri pengine kuliko zote kutokana na ilivyoandikwa. visa vya usaliti, utapeli, honor, inequality, mapenzi vimeonyeshwa kiuhalisia na wala sio zle series za main character mmoja ambazo mwisho wake unaweza kuutabiri, inaonyesha dunia haipo fair na ukijaribu kuwa fair/honarable sana gharama zake ni nini.

Ila mazungumzo kati ya characters wake Dah, hakuna series iliyoniacha na quote nyingi kama hii Varys, Littlefinger, Lady Olenna, Ser Davos, Lord Tywin , Cersei n.k
Nimetupia baadhi kwa picha, kama una baadhi tupia pia hata kama bila picha
View attachment 1172735

View attachment 1172736

View attachment 1172741

View attachment 1172743

View attachment 1172744View attachment 1172745

View attachment 1172758View attachment 1172762

View attachment 1172771

View attachment 1172773

View attachment 1172747View attachment 1172751

View attachment 1172742

View attachment 1172738
Ukiachilia mbali wale makamanda, KINGS. na wana zuoni.... The half man nilikuwa namuelewa sana......

Ngoja nichek best Quotes za GOT
 
“Never forget what you are. The rest of the world will not. Wear it like armor, and it can never be used to hurt you.”

That’s what I do: I drink and I know things.”

When you play the game of thrones, you win or you die. There is no middle ground.”
 
Ukiachilia mbali wale makamanda, KINGS. na wana zuoni.... The half man nilikuwa namuelewa sana......

Ngoja nichek best Quotes za GOT
Lord Varys, Lady Ollena ndio best chatacters wangu, walivyouawa dah

Varys sababu ya alivyokuwa akizungumza na alivyokuwa akikusanya intelligence (whispers), alivyokuwa akitoa ushauri halafu hakua na tamaa ya madaraka ila alijua ku play safe hadi aka survive sijui 8 kings

Lady Olenna sababu ya alivyokuwa fierce na alivyokuwa akizungumza hadi Tywin alikuwa akimuheshimu
 
Nimeipenda hii
Hii qoute ina counter ile ya quote maarufu ya movie ya Godfather "Keep your friends close, but keep your enemies closer"

Kuna ile ya mwanzoni kabisa season 1 Jammie Lannister anamwambia dogo baada ya kuwaona wakifanya usaliti yeye na dada yake

“THINGS WE TO FOR LOVE”
Then akamsukuma dogo mpaka chini
 
Kuna hii sikumbuki ni movie gani.

" I'm not a cigarette that you'll smoke and crush. I'm a drug baby you'll beg for me."
 
sio ya game of thrones hii, kulikuwa hakuna cigarette wala recreational drugs
 
Lord Varys, Lady Ollena ndio best chatacters wangu, walivyouawa dah

Varys sababu ya alivyokuwa akizungumza na alivyokuwa akikusanya intelligence (whispers), alivyokuwa akitoa ushauri halafu hakua na tamaa ya madaraka ila alijua ku play safe hadi aka survive sijui 8 kings

Lady Olenna sababu ya alivyokuwa fierce na alivyokuwa akizungumza hadi Tywin alikuwa akimuheshimu
Varys alikuwa kichwa sana.

Ila kwa watu wenye michezo mitamu, michafu.... Baelish alikuwa fish master nilikuwa namuelewa pia.

Spirit ya Arya stark nilipenda dogo alikuwa anajituma mno n Konk lady. Kuvutiwa kimuonekan i. Sansa was my favorite lady (thou alikuwa boya kichwa maji sometimes)
ii. Mother dragon, was hot huh.

Ila sijui why KHAL DRAGO alikufa, jamaaa alikuwa konki sana.
 
Mimi nilikuwa sipendi sana Warriors kama akina Khal Drogo nilipenda zaidi politicians, hasa wale master wa political games, waliokuwa wakiilifanya game of thrones kuwa "Game" inayososimua

Na wachezaji wazuri wa game ya siasa top 5 yangu ni hii

1. Alikuwa little finger, sema alikuwa too dirty so ilifanya nisimpende japo alichangia sana Game kuchangamka
Littlefinger ndio alianzisha vita ya five Kingdoms kwa kumuua Jon Arryn kwa sumu, kum set Ed Stark hadi akagundua uchafu wa Cersei na Jaime kuzaa pamoja, alichochea pia ugomvi wa Starks na Lanisters kwa kujaribu kumuua Bran kisha kumsingizia Tyrion, alishirikiana na Cersei kutoa ushahidi wa kukamatwa kwa Tyrells na High Sparrow, kisha baadae akashirikiana na Olena kutoa ushahidi uliowezesha kukamatwa kwa Cercei na High Sparrow, alim set Arya kugombana na Sansa kisha kujaribu ku set Sansa amuue Arya ila akashindwa na akauawa. Littlefinger alikuwa mchongamishi kuleta vita,na kutumia vita hivyo kwa manufaa yake ya kupata nguvu za kisiasa zaidi

2. Varys alikuwa anajua kucheza vizuri, hakuwa dirty ndio kimefanya akawa favorite character wangu. Varys alikuwa akijua michezo yote ya Lannisters na alijua watamuua King Robert muda si mrefu akamtahadharisha Ned, ika Ned alikuwa boya sana kujua, Varys ndio alikuwa akijua mbinu zote za Littlefinger

3. Cersei alikuwa anajua sana kucheza pia baada ya kuona wale Tyerlls wanataka kutawala kupitia ndoa ya Margery na Tommen, aliwapa faith millitants mamlaka ya kumiliki jeshi na kuwakamata tyrells, hatimaye wakaja kumkamata na yeye na kumtembeza uchi ila akaja kufanya kitu ambacho hakuna aliyefikiria, kulipua bomu liliowaua na kusababusha mwanae ajiue, zipo mbinu nyingi sana za cersei ila zilikuwa chafu za kibabe, so sikumpenda sababu hiyo

4. Lady Olena, alikua pua very skilled player, alishirikuana na Littlefinger kumuua King Joffrey ili mjukuu wake Queen Margery aoane na yule Tommen ambaye angekua ni rahisi kum controll na ku manipulate ili awe mtawala wa seven Kingdoms

5. Tyrion Lanniter, Skilled player mwingine anajua kucheza karata zake vizuri, alipochaguliwa kuwa acting Hand of King na baba yake alivyowatega Varys, Litefinger na Pycelle kujua ni yupi yupo upande wa Cercei, alibadilisha ile citywatch (polisi wa mji )na kuweka kamanda wa majeshi yake mwenyewe ili ajilinde na Cercei yasije kumkuta ya Nerd Stark, jamaa alikuwa master hadi Littlefinger akamchukua kwenda kuwa mshauri wa Daenerys ampe mbinu za namna ya kuchukua seven Kingdoms nilimpenda jamaa

Hao ndio top five yangu kwenye kucheza game ya siasa na mbinu

Wengine niliowapenda ni
Jon Snow japokuwa hakuwa na mbinu sana kwenye siasa, alikuwa mpiganaji na watu walimpenda sababu alikuwa fair

Ned Stark alikuwa fair sana ila ndio kilochomponza hadi akauawa, angetumia mbinu chafu kupambana na kina Cercei angeshinda

Queen Daenerys sikumpenda sana sababu ya ubabe mwingi na pia hakuwa na mbinu za siasa sana zaidi alisaidiwa na wale Dragons tu kushinda vita na magic nyingine, sema alifanifurahisha kwa kumuua Cersei

I feel u.. Personality yako inawiana sana na Varys, can smell that. Kuna muda my favorite half man, akikutana Na Varys, kujadili jambo huwa yanatoka majibu Safi sana.

Ila hakuna mtu aliyekuwa ana nikela kama KING ROBERT alikuwa boya sana.

John snow, hakuna na mbinu hivo, sema alikuwa mtu mwenye bahati tu, katika ile movie.
images-84.jpeg
images-85.jpeg
 
I feel u.. Personality yako inawiana sana na Varys, can smell that. Kuna muda my favorite half man, akikutana Na Varys, kujadili jambo huwa yanatoka majibu Safi sana.

Ila hakuna mtu aliyekuwa ana nikela kama KING ROBERT alikuwa boya sana.

John snow, hakuna na mbinu hivo, sema alikuwa mtu mwenye bahati tu, katika ile movie.View attachment 1174675View attachment 1174676
Tryrion lannister'' I want you to f*ck me like it is my last day on this world"
 
The lion does not concern itself with the opinion of the sheeps "Cersei lannister"

If people ask you tell them the north remembers, tell them winter came for house frey "Arya stark"

The man who passes the sentence should be the one to swing the sword "Ned stark"
 
Walikutana hapa watu wa wisdom

Lord Varys: I did what I did for the good of the realm.

Petyr ‘Littlefinger’ Baelish: The realm. Do you know what the realm is? It’s the thousand blades of Aegon’s enemies, a story we agree to tell each other over and over, until we forget that it’s a lie.

Lord Varys: But what do we have left, once we abandon the lie? Chaos? A gaping pit waiting to swallow us all.

Petyr ‘Littlefinger’ Baelish: Chaos isn’t a pit. Chaos is a ladder. Many who try to climb it fail and never get to try again. The fall breaks them. And some, are given a chance to climb. They refuse, they cling to the realm or the gods or love. Illusions. Only the ladder is real. The climb is all there is.
 
Chaos is a ladder...LittleFinger alikuwa akichonganisha kuleta vita na kuvitumia vita kupanda kisiasa
kama sio yeye vita ya Five Kings isingetokea
 
Back
Top Bottom