Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu
USIMDHARAU mkeo sababu ya WADANGAJI, usijione mjanja kumpata huyo MBINUA makalio asiyejua PESA zako umepataje huku mkeo ALIYEKUVUMILIA muda wa shida akila MATUSI. [emoji183]
Uko sahihi sana au sio Mama D

USSR
 
Broo!!!umesalimu amri,,,Umerudisha jezi mapema mnoo wakati mapambano ndio yameanza,,umesaliti kambi kizembe na kipuuzi,,,umeamua kwa Hisia kakaa!! badala ya matumizi ya akili,,,tenaa ile ya Akili ya Kiunaume,,,yaani umerudia yale yale ya Babu yetu adamu kule eden umekubali kulishwa tunda kizembee mnoo nawe umezembeka kishenzii yaanii!!Amka Brooo!!Duuh kweli limbwataa limegonga panapo stahili!!Usitufanyie hivyo kaka,,,Bado Tunakutegemea mnoo,,embu fikiri mara ya pili na jipe muda pia,,jitafakari zaidi tena,,Usiwe mpuuzi Kaka!!
 
Huenda kuna ka ukweli japo ni kadogo. Maisha ni kuvumiliana na sio upande mmoja pekee.
 
Ndege mmoja anathamani kuliko ndege kumi walioko angani[emoji1666][emoji2935]
 
Back
Top Bottom