Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu
USIMDHARAU mkeo sababu ya WADANGAJI, usijione mjanja kumpata huyo MBINUA makalio asiyejua PESA zako umepataje huku mkeo ALIYEKUVUMILIA muda wa shida akila MATUSI. [emoji183]
Ndoa bila changamoto inapoa sana lazima mishe ziwepo ili kuleta ladha
 
Ikiwa virusi vya UKIMWI vinaweza kuishi kwa sekunde 30 tu vinapowekwa hewani, kwa nini tunasema tunaweza kuvipata kutoka kwa sindano ambayo imekuwa chini kwa masaa? 🤔
Mkuu,

Tunasema hivyo kwa sababu sindano ambayo imetumika inabaki na damu damu ambazo huwezesha virusi kuishi kwa zaidi ya siku arobaini.

Hata hivyo, asilimia ya maambukizi ni ndogo mno ila haimaanishi hatupaswi kuichukulia tahadhari.

Kumbuka, ni sindano iliyotumika na mtu mwenye maambukizi. UKIMWI hauna tiba. Chukia tahadhari.
 
Inategemea,kama sindano ikiwa na chembechembe za damu bas virusi vitakua hai,kwahiyo kuishi kwa virusi kutategemea na uhai wa hiyo damu na hapo maswala kama joto n.k vinaweza kuathiri.Kama damu ikiganda bas hata virusi havitaishi
 
Mkuu,

Tunasema hivyo kwa sababu sindano ambayo imetumika inabaki na damu damu ambazo huwezesha virusi kuishi kwa zaidi ya siku arobaini.

Hata hivyo, asilimia ya maambukizi ni ndogo mno ila haimaanishi hatupaswi kuichukulia tahadhari.

Kumbuka, ni sindano iliyotumika na mtu mwenye maambukizi. UKIMWI hauna tiba. Chukia tahadhari.
Je vipi ile damu kwenye sindano ikikauka mkuu?
 
Virusi ni vidudu vizembe sana. Zembe sana.

Porini wanyama wanaogopana kwa ukubwa, ndo maana simba anamuogopa tembo. Iweje sie binadamu tukaogope kajitu ambako hadi kwa tochi hakaonekani.!??

Zembe sana😾.

Akili tu mtu wangu, kale hakana nguvu mpaka will yako ikubali matakwa ya kenyewe. Ubishi wako ndo dawa yake. Ndo maana yale mabishi yote yanayokapondaga hayauguagi kabisa no matter what. Yanakula hadi waliothibitishwa, mengine hadi yanajidunga lakini wapi.

Chukua hata kauli za waganga na manabii wanaosemaga ni kama kapepo au shetani kakirusi, ukikakataa ukakakemea kanatoka nduki🏃

Utaskia kajitu kanasema yupo kwenye denial. Kwanza kiherehere tu comment ndeeefu kuliko thread na bado sijajibu swali🤣.

Haya najibu sasa. Ni kwamba hewani hako kadudu zembe hakasavaivu kanatutegemea saana ili kaishi. Kakiwa kwenye damu zetu kanajikongoja kiasi. Lakini hata hivyo sindano ikikuchoma kakaingia katazurula kwenye damu weeeeeh mpaka karuhusiwe kuingia ndani ya seli la sivyo katakufa tena.

Kakiingia kwenye seli kanaanza ushawishi wa kuzalishwa zaidi. Mtu (Will) akikubali kanazaliana, akigoma ndo mwisho wake tena kanakufa!. So ultimately ubishi wako na uimara wa matakwa (will ya ndani) yako ndio utaamua matokeo. Nawasilisha👊
 
Mkuu kwa hiyo unakuwaje una kabishia?
 
Back
Top Bottom