Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kila mbuzi ale kwenye urefu wa kamba yake,
Ha ha ha huu msemo bwana sasa sijui nani kasema..watu wa Lugha nadhan watatupa facts kuhusu misemo ya aina hii..au ndio from UNKNOWN
Mimi sijawahi ona msemo applicable katika maisha ya kila siku kama huu. Nilishafanya jitihada nyingi sana za kumtafuta aliyesema hivi lakini sikumpata.
Unajua hapa tunazungumzia Quotes ambazo mimi natafsiri kama Nukuu, na sio Misemo au Sayings..
Nitakua tayari kurekebishwa
kila mbuzi ale kwenye urefu wa kamba yake,
Katika uhalisia hakuna mchungaji anayeweza mfunga mbuz wake jangwani.
Mbuzi lazima afungwe malishoni na kamba yake ndo itamuongoza ale mpaka wapi.
Iyo ndo huruma yenyewe ya mchungaji ndugu
Hapana, huo ni wajibu wa mchungaji na si huruma
Ha ha haaa aya bana umeshinda
"tell my people that i love them,i knw the blood of my body will nourish the tree of freedom which will bear the fruits of independent...ALLUTAR CONTINUA"(Solomon Mahalangu)