Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ami mpya nguvu mpya na kasi ya ajabu
hachomoki mtu
Mimi sijawahi ona msemo applicable katika maisha ya kila siku kama huu. Nilishafanya jitihada nyingi sana za kumtafuta aliyesema hivi lakini sikumpata.
Unajua hapa tunazungumzia Quotes ambazo mimi natafsiri kama Nukuu, na sio Misemo au Sayings..
Nitakua tayari kurekebishwa
Mimi sikurekebishi nakupa hii kama zawadi.kuna kitu wahenga walisema si ndio? Yaonekana haya maneno yalisemwa na watu but hawajulikani ni kina nani na wanahadhi ya kuwa wenye busara kutokana na umuhimu wa maneno yao.
Back to the point yana fit kuwa quotes since are the words quoted from wahenga

Hoja ya msingi sana.Tuko pamoja mkuu
''Usipo kubali KULIWA, huli
sasa wewe unataka KULA tu bila KULIWA haiwezekani''
.
Jakaya mrisho kikwete
hakuna umaskini mbaya kuliko yote kama umaskini wa mawazo......Mwl Julius K Nyerere