sasa mkuu kulikua na ulazima gani wa kutoa hizi za kichochezi?Quran 9:30 “The Jews and the Christians are perverts; fight them.”
sasa mkuu kulikua na ulazima gani wa kutoa hizi za kichochezi?
kutaka mabishano?
huu uzi jamaa kaunzisha kwa lengo zuri ila watu kama nyie mtaufanya uondolewe
kumbuka hata kwenye bible pia kuna mistari mingi inazingua
NB:Bila kusahau Arabic Quotes cause its worldwideweb's language.Islamics' huge of
Inspirational, Pictures,
Photos, Images, quotes
one-liners about Islam,
Allah,Qur'anic, Hadith,prayer
Love,Life,Friendship, Happiness, Society, Sirah,
Artworks, nature e.t.c
Also includes meme and Islamic funfacts.
Islamic quotes za kiswahili zunaruhusiwa hapa,
Kwa majadiliano mema kabisa,Kwa lugha
zingine mpaka uruhusiwe na mwanzilishi wa Uzi huu.
Karibuni nyote.
show all
you have a problem of immaturityMkuu mi nimeitikia wito kwa kuweka ayat nzuri za Quran tukufu ili kila mtu ajionee uzuri wa Quran. Kama ww unasema ni za kichochezi ni shauri yako maana Quran ni maneno ya Allah(sw) mwenyewe. Sasa mi sielewi wewe inakuaje unaziita za kichochezi
sasa mkuu kulikua na ulazima gani wa kutoa hizi za kichochezi?
kutaka mabishano?
huu uzi jamaa kaunzisha kwa lengo zuri ila watu kama nyie mtaufanya uondolewe
kumbuka hata kwenye bible pia kuna mistari mingi inazingua
Quraan 22:19-Hawa mahasimu wawili waliohasimiana kwa ajiri ya mola wa. Basi wale waliokufuru watakatiwa nguo za moto na yatamiminwa juu ya vichwa vyao maji yachemkayo.Quran 22:19 “Punish the unbelievers with garments of fire, hooked iron rods,boiling water; melt their skin and bellies.”
Quraan 47:4-Basi mnapokutana vitani na wale walio Kufuru wapigeni ktk shingo zao mpaka mkiwashinda sana, hapo wafungeni mateka wawacheni kwa hisani au kujikomboa. Kila vikitokea vita fanyeni hivi hivi hata vita vitue mizigo.Quran 47:4 “Do not hanker for peace with the infidels; behead them when you catch them.”
Quraan 9:28-Na jueni ya kwamba mali zenu na watoto wenu ni mtihani na jueni ya kwamba kwa mwenyezi mungu yako malipo makuu.Quran 9:28 “The infidels are unclean; do not let them into a mosque.”
Mmh!! Lazima una sababu zako za msingi kuweka hayosasa mkuu kulikua na ulazima gani wa kutoa hizi za kichochezi?
kutaka mabishano?
huu uzi jamaa kaunzisha kwa lengo zuri ila watu kama nyie mtaufanya uondolewe
kumbuka hata kwenye bible pia kuna mistari mingi inazingua
Mheshimiwa kuna hiyo katika Quran au umeamua kuchafua.Usikute Alshabab wanaua waKristo kule Kenya wanatumia hiyo Ayat.[/QUOTE
Masahihisho; Quran 9:30 Inasema"Na mayahudi wanasema "Uzeri ni mwana wa mungu" na wakristo wanasema "Masihi ni mwana wa mungu," Haya yote wasemayo kwa vinywa vyao .Wanayaiga maneno ya wale walio kufuru kabla yao,mwenyezimungu awaangamize,wanageuzwa namna gani hawa!(mwisho wa nukuu)
Kumbe kwenye kurani zimo aya za kichochezi? Kwenye Biblia hakunasasa mkuu kulikua na ulazima gani wa kutoa hizi za kichochezi?
kutaka mabishano?
huu uzi jamaa kaunzisha kwa lengo zuri ila watu kama nyie mtaufanya uondolewe
kumbuka hata kwenye bible pia kuna mistari mingi inazingua