real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,299
sasa mkuu kulikua na ulazima gani wa kutoa hizi za kichochezi?Quran 9:30 “The Jews and the Christians are perverts; fight them.”
kutaka mabishano?
huu uzi jamaa kaunzisha kwa lengo zuri ila watu kama nyie mtaufanya uondolewe
kumbuka hata kwenye bible pia kuna mistari mingi inazingua