FARU JEURI
JF-Expert Member
- Sep 4, 2015
- 377
- 299
Yeaah K. DotKendrick lamar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeaah K. DotKendrick lamar
Mugabe hana hata moja!Mwalimu Nyerere; "Ni bora kuishi na fikra hai kuliko kuishi na fikra zilizokufa"
"Unaweza kuwadanganya watu wote kwa muda fulani na baadhi ya watu wakati wote ila huwezi kuwadanganya watu wote kwa wakati wote"
Abrahamu Linlccon: Rais wa 16 wa nchi ya Marekani. "Serikali ya watu, inayowatumikia watu na iliyowekwa na watu haitapotea duniani"
Nelson Mandela; "Elimu ni silaha yenye nguvu yenye uwezo wa kuibadilisha dunia."
"Kichwa kizuri na moyo mzuri huwa na ushirika".
"Kama unataka kutengeneza amani na adui yako, tengeneza nae urafiki kisha atakuwa rafiki yako".
"Inatupasa tutumie muda vizuri na siku zote tukumbuke ya kwamba muda huenda sahihi"
Thomas Jefferson: "Uaminifu ni ukurasa wa kwanza wa kitabu cha hekima"
Lucille Ball: "Huwa najutia mambo niliyoyatenda kuliko yale ambayo sikuyatenda"
Confucius: "Ukimia ni chanzo kikubwa cha nguvu"
Lao Tzu: "Kuwajua wengine ni hekima, kujijua mwenyewe ni marifa makubwa"
Benjamini Franklin: "Uaminifu ni sera nzuri"
Abrahan Maslow: "Ukiwa na nyundo unaona kila tatizo kama msumari"
Publilius Syrus: "Kutokana na makosa ya wengine mwenye hekima hujisahihisha"
Aritotle: "Matumaini ni matumaini yanayotembea"
Plato: "Maamuzi mazuri huegemea maarifa na sio umri"
John F. Kennedy: "Samehe adui zako lakini usisahau majina yao" | "Ushindi una baba wengi ila kushindwa ni yatima"
NB: Nawe ongezea ya kwako au nukuu nyingine zaidi za watu mashuhuri, kabla ya kuchangia.
hahahaa "kukazana"Kazaneni kwenye mikorosho - Mwl Nyerere huko Mtwara.
WOMEN and not womens"Womens are second GOD's mistakes" Fredrich.
Hii kauli ina ukweli ndani yake?"Womens are second GOD's mistakes" Fredrich.