Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ipi hiyo mkuuMbona naona Speech ya Marcus Garvey hapo juu!
ktk babylone systemFighting and forcing
ipi hiyo mkuu
Duh hii thread imepinduliwa na Bashite nini i hope umeniquote kwenye ile thread ya Bob Marley!ipi hiyo mkuu
hapana nduguDuh hii thread imepinduliwa na Bashite nini i hope umeniquote kwenye ile thread ya Bob Marley!
Ni tapeli fulani wa kisiasaKwani mzee Makamba ni nani mpaka awe man of refference?
Ironically your ID is hm DICTIONARY!Kwani mzee Makamba ni nani mpaka awe man of refference?
Hii ni ya mzee makamba, sio ya kitenge!Mzee Makamba aliwahi sema aina NNE za ukubwa.Umri,Elimu,Cheo,Pesa
Usipokua na busara,hizi zinaweza kukuvuruga ukajiona Mkubwa mahali popote
Mpaka kombe la duniaaaaaaaaaaHii ni ya mzee makamba, sio ya kitenge!
Kitenge yake ni: Gaboooooooooooooooooooooooon .......................!
Mzee Makamba aliwahi sema aina NNE za ukubwa.Umri,Elimu,Cheo,Pesa
Usipokua na busara,hizi zinaweza kukuvuruga ukajiona Mkubwa mahali popote
mwenye huruma anieleweshe, sijaelewa heading wala kilichoandikwa!