Northpal
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 329
- 295
Hata walioziongea waliziongea kwa kizungu, kukalimani kunaweza kupelekea tafsiri zisizo rasmi, kupunguza uzito ama hata kubadili maana. Hivyo sijui ulitakaje!!Nukuu zote za waliocomment ni za kizungu,chache sana ni za kiswahili hii maana yake nini?