Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu
Nukuu zote za waliocomment ni za kizungu,chache sana ni za kiswahili hii maana yake nini?
Hata walioziongea waliziongea kwa kizungu, kukalimani kunaweza kupelekea tafsiri zisizo rasmi, kupunguza uzito ama hata kubadili maana. Hivyo sijui ulitakaje!!
 
60fe2f0b2746aed2db6375dd1db517dc.jpg
 
Mkanye mkeo bajaji si yangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nakugawa
 
Back
Top Bottom