Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Napita nitakuja baadaeMwalimu Nyerere;
Nelson Mandela;
- "Ni bora kuishi na fikra hai kuliko kuishi na fikra zilizokufa"
- "Unaweza kuwadanganya watu wote kwa muda fulani na baadhi ya watu wakati wote ila huwezi kuwadanganya watu wote kwa wakati wote"
- "Elimu ni silaha yenye nguvu yenye uwezo wa kuibadilisha dunia."
- "Kichwa kizuri na moyo mzuri huwa na ushirika".
- "Kama unataka kutengeneza amani na adui yako, tengeneza nae urafiki kisha atakuwa rafiki yako".
- "Inatupasa tutumie muda vizuri na siku zote tukumbuke ya kwamba muda huenda sahihi"
Abrahamu Lincoln (Rais wa 16 wa nchi ya Marekani): "Serikali ya watu, inayowatumikia watu na iliyowekwa na watu haitapotea duniani".
Thomas Jefferson: "Uaminifu ni ukurasa wa kwanza wa kitabu cha hekima".
Lucille Ball: "Huwa najutia mambo niliyoyatenda kuliko yale ambayo sikuyatenda"
Confucius: "Ukimia ni chanzo kikubwa cha nguvu"
Lao Tzu: "Kuwajua wengine ni hekima, kujijua mwenyewe ni maarifa makubwa"
Benjamini Franklin: "Uaminifu ni sera nzuri"
Abrahan Maslow: "Ukiwa na nyundo unaona kila tatizo kama msumari"
Publilius Syrus: "Kutokana na makosa ya wengine mwenye hekima hujisahihisha"
Aritotle: "Matumaini ni matumaini yanayotembea"
Plato: "Maamuzi mazuri huegemea maarifa na sio umri"
John F. Kennedy: "Samehe adui zako lakini usisahau majina yao" | "Ushindi una baba wengi ila kushindwa ni yatima"
----------
NB: Nawe ongezea ya kwako au nukuu nyingine zaidi za watu mashuhuri, kabla ya kuchangia.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Be careful when a naked person offers you a shirt
Wanasherehekea kuanguka kwa ujamaa , lakini yakowapi mafanikio ya Ubepari kuanzia Asia hadi Africa. Fidel Castro.Mwalimu Nyerere;
Nelson Mandela;
- "Ni bora kuishi na fikra hai kuliko kuishi na fikra zilizokufa"
- "Unaweza kuwadanganya watu wote kwa muda fulani na baadhi ya watu wakati wote ila huwezi kuwadanganya watu wote kwa wakati wote"
- "Elimu ni silaha yenye nguvu yenye uwezo wa kuibadilisha dunia."
- "Kichwa kizuri na moyo mzuri huwa na ushirika".
- "Kama unataka kutengeneza amani na adui yako, tengeneza nae urafiki kisha atakuwa rafiki yako".
- "Inatupasa tutumie muda vizuri na siku zote tukumbuke ya kwamba muda huenda sahihi"
Abrahamu Lincoln (Rais wa 16 wa nchi ya Marekani): "Serikali ya watu, inayowatumikia watu na iliyowekwa na watu haitapotea duniani".
Thomas Jefferson: "Uaminifu ni ukurasa wa kwanza wa kitabu cha hekima".
Lucille Ball: "Huwa najutia mambo niliyoyatenda kuliko yale ambayo sikuyatenda"
Confucius: "Ukimia ni chanzo kikubwa cha nguvu"
Lao Tzu: "Kuwajua wengine ni hekima, kujijua mwenyewe ni maarifa makubwa"
Benjamini Franklin: "Uaminifu ni sera nzuri"
Abrahan Maslow: "Ukiwa na nyundo unaona kila tatizo kama msumari"
Publilius Syrus: "Kutokana na makosa ya wengine mwenye hekima hujisahihisha"
Aritotle: "Matumaini ni matumaini yanayotembea"
Plato: "Maamuzi mazuri huegemea maarifa na sio umri"
John F. Kennedy: "Samehe adui zako lakini usisahau majina yao" | "Ushindi una baba wengi ila kushindwa ni yatima"
----------
NB: Nawe ongezea ya kwako au nukuu nyingine zaidi za watu mashuhuri, kabla ya kuchangia.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwanamke ni kama mavi ya kuku anabadilika leo mweupe kesho mweusi- song of lawino and ocolo