Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,302
- 7,815
Waooo, ni kweli maana huwez kuwa strong bila kupitia mambo magumuMambo? The man that breaks you... makes you stonger
Waooo, ni kweli maana huwez kuwa strong bila kupitia mambo magumu
4. "Mafanikio Siyo "Surprise" Bali ni Mchakato"...Harris Kapiga.1. "Ili Ufanikiwe katika Maisha Lazima Uweke (Invest) Muda (time) Mahali" (Millardi Ayo).
2. "Ukiona Panya Anapitapita sebureni, ujue anataka kujulikana" (Mpoki).
3. Huwezi Kuvuka Daraja Kabla Hujalifikia (Zembwela).