logframe
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,242
- 5,543
Hatari sana mkuuLogframe Abdul Jumbe wa watu kuanzia hapo atukumsikia tena akawa nyumbani kwake mji mwema.Hakika siasa kitu cha ajabu sana sio cha kuamini sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari sana mkuuLogframe Abdul Jumbe wa watu kuanzia hapo atukumsikia tena akawa nyumbani kwake mji mwema.Hakika siasa kitu cha ajabu sana sio cha kuamini sana
Sawa, ntakua naweka ntakapokua napata mudamkuu miller tupia ving tu mwenye muda apitie kwa kweli vitabu husaidia sana kuwa competence..
If you dont find a way to make money when u are sleeping,then u will work till u die.....Habari wana BUU,
Mimi ni mmoja kati ya ambao napata hamasa kubwa na motisha kupitia "quotes" za watu mbali mbali wa maana hasa wale wa kale......kama wachumi, wanasiasa, wajasiriamali, wanaharakati na hata watu wa dini tofauti tofauti,
Hivyo nimeona sio mbaya tukashirikishana hivi vimisemo vya watu wa maana....narudia watu wa maana.
Tujifunze....tutiane moyo....tuoneshane njia.
NB: lugha yoyote sawa ila tusipoelewa tutafsiriane ili mtu atoke na kitu, mfn hata mm nimeshindwa kujua kiswahili cha neno "Quote"
-"If you don't risk anything, you risk even more." — Erica Jong
-"Wealth is not simply about having [HASHTAG]#money[/HASHTAG]; it is about having the freedom to choose how to live your life." - R. Kiyosaki
-"The idea that success can happen overnight is crippling the financial future of generations. You have to work for it." - R. Kiyosaki
angemwambia 11 labda angebakia kuwa rais mpaka sasaAbdulJumbe! - Alipotaka serikali tatu. Nyerere alimuuliza moja kujumlisha moja ningapi..? Jumbe akajibu ni mbili. Nyerere akamwambia kama ni mbili mbona unatakaserikali tatu..? Huo ndio ukawa mwisho wa Abdul Jumbe kuwa Rais wa Zanzibar.