Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu
"Fire is the test of gold, adversity, of strong men." Seneca

"Although men are accused of not knowing their own weakness, yet perhaps few know their own strength. It is in men as in soils, where sometimes there is a vein of gold which the owner knows not of." Jonathan Swift
 
43182a57389450c2d5eeee9014d43c2b.jpg
 
"A ship is always safe at the shore, but that's NOT what it's built for." Albert Einstein

"Love all, trust a few, do wrong to none." William Shakespeare

"Excellence is doing a common thing in an uncommon way." Albert Einstein
 
Habari wana BUU,
Mimi ni mmoja kati ya ambao napata hamasa kubwa na motisha kupitia "quotes" za watu mbali mbali wa maana hasa wale wa kale......kama wachumi, wanasiasa, wajasiriamali, wanaharakati na hata watu wa dini tofauti tofauti,

Hivyo nimeona sio mbaya tukashirikishana hivi vimisemo vya watu wa maana....narudia watu wa maana.
Tujifunze....tutiane moyo....tuoneshane njia.

NB: lugha yoyote sawa ila tusipoelewa tutafsiriane ili mtu atoke na kitu, mfn hata mm nimeshindwa kujua kiswahili cha neno "Quote"

-"If you don't risk anything, you risk even more." — Erica Jong

-"Wealth is not simply about having [HASHTAG]#money[/HASHTAG]; it is about having the freedom to choose how to live your life." - R. Kiyosaki

-"The idea that success can happen overnight is crippling the financial future of generations. You have to work for it." - R. Kiyosaki
If you dont find a way to make money when u are sleeping,then u will work till u die.....
[HASHTAG]#millioners[/HASHTAG] mind

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Ukitaka kula lazima uliwe kwani mtaka cha uvunguni, sharti uinama." - J.M. Kikwete


Yaani sijapata ona mtu wa hajabu kama Kikwete, hiyo quote aliitoa kwa wahisani/wawekezaji, kweli tulichaguwa kituko si rais.
 
Back
Top Bottom