goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,149
You become what you believe to be.
Tyga
Tyga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
utajiri sio kuwa na mali nyingi, utajiri ni kukinai ulichonacho.
Haha... Hii ilikuwa kali ya mwaka....Ukifanya fujo umeambiwa usifanye hiki ukaamua wewe kukaidi utapigwa tu maana hakuna namna nyingine maana wote lazima tukubaliane nchi hii tunaiendesha kwa misingi ya kisheria sasa kama wewe umekaidi hutaki unaona kwamba ni imara zaidi, wewe ndio jeuri zaidi watakupiga tu na mimi nasema muwapige tu, kwa sababu hakuna namna nyingine maana tumechoka sasa”. Mizengo
Hatari tupu..huwa namkumbuka sana Mizengo kwa hii kauliHaha... Hii ilikuwa kali ya mwaka....