Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu
If you hypocrite can't handle the heat, get the hell out of the kitchen
 
Quote of the Day for Wednesday, September 27, 2017
 

Attachments

  • September 26, 2017.png
    September 26, 2017.png
    6.5 KB · Views: 85
"Ni heri kufa katika FIKRA zinazoishi, kuliko kuishi katika FIKRA zilizokufa".

#JITAMBUE#
 
A person with responsibilities without rights is a slave But a person with rights without responsibilities is a Master
 
Ukifanya fujo umeambiwa usifanye hiki ukaamua wewe kukaidi utapigwa tu maana hakuna namna nyingine maana wote lazima tukubaliane nchi hii tunaiendesha kwa misingi ya kisheria sasa kama wewe umekaidi hutaki unaona kwamba ni imara zaidi, wewe ndio jeuri zaidi watakupiga tu na mimi nasema muwapige tu, kwa sababu hakuna namna nyingine maana tumechoka sasa”. Mizengo
Haha... Hii ilikuwa kali ya mwaka....
 
Back
Top Bottom