Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu
Kwa kweli kupaza sauti ni muhimu sana lakini haitoshi lakini not enough to take down a "loud dictator"! Hata TAML analifahamu hilo!
This thread
Its not about a loud dictator, but its about
you need more than a loud mouth to take down a dictator.

Hii maana yake ni udikiteta, hauondolewi kwa kupiga tuu kelele, na kupaza sauti. You need to do something more.

P.
 
Huu Uzi haujakuletea shida kwa "Familia"
Law 1
Never Outshine the Master
Always make those above you feel comfortably superior. In your desire to please or impress
them, do not go too far in displaying your talents or you might accomplish the opposite – inspire
fear and insecurity. Make your masters appear more brilliant than they are and you will attain
the heights of power.
 
Huu Uzi haujakuletea shida kwa "Familia"
Mimi sio mwana "familia", niko zangu kivyangu vyangu tuu, ila kutokana na nature yangu ya kuwa fearless, wengi wananidhania ni mwana "familia".

Ila pia hili la kudhaniwa ni mwana "familia" hata kama sio, linasaidia kwenye maemeo fulani fulani kwa watu kukuogopa wakijua wewe sio mtu wa mchezo mchezo!, ukitaka kupenya mahali pagumu, wanakupisha njia!.

P.
 
Mimi sio mwana "familia", niko zangu kivyangu vyangu tuu, ila kutokana na nature yangu ya kuwa fearless, wengi wananidhania ni mwana "familia".

P.
"Pascal Mayalla, ISOME VIZURI HII
Law 20
Do Not Commit to Anyone
It is the fool who always rushes to take sides. Do not commit to any side or cause but yourself.
By maintaining your independence, you become the master of others – playing people against
one another, making them pursue you.
 
Back
Top Bottom