HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
A . Lincoln kipindi chake hapakuaa na Internet"Don't believe everything you read on the internet." ~ Abraham Lincoln
Internet imetapakaa sana miaka hii hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
A . Lincoln kipindi chake hapakuaa na Internet"Don't believe everything you read on the internet." ~ Abraham Lincoln
if you want to eat allow yourself to be eaten.ukitaka kula,ni lazima nawewe uliwe by jk.
sijajua kiingereza inakaaje hii.
Ya kweli hayo? Au jamaa alikuwa 'Nabii'??"Don't believe everything you read on the internet." ~ Abraham Lincoln
tehteh ujumbe umeupata lakini........A . Lincoln kipindi chake hapakuaa na Internet
Internet imetapakaa sana miaka hii hii
hahaha soma vizuri hiyo quote ni ya kweli,,,,,Ya kweli hayo? Au jamaa alikuwa 'Nabii'??
Nimecheka"Don't believe everything you read on the internet." ~ Abraham Lincoln
hahaha kwani ni uongo?..........Nimecheka
Kwenye hiyo quote hapo sina shida napo. Wasiwasi wangu ni huyo Abraham Lincoln aliyeingia hapo kama msemaji wa hiyo quote...hahaha soma vizuri hiyo quote ni ya kweli,,,,,
''We ain't picture perfect but we worth the picture still '' j,coleSalamu!
Kumekuwa na nukuu mbalimbali ama kwa lugha ya Kiingereza 'Quotations' hasa kutoka kwa watu maarufu ambazo zinafahamika sana huku zingine zikionekana kama hazina maana yeyote ama zingine zina ujumbe uliofichwa kiasi kwamba pengine unahitaji uwe 'Great Thinker' ndio uweze kung'amua maana zake la sivyo utaishia kutoka kapa.
Kuna baadhi ya nukuu huwa zinafikirisha sana ingawa kwa wengine zinaweza kuwa kama upuuzi huku upande fulani wakiona kuwa zina maana fulani ambayo si yakuidharau na zinakufanya ufikirie sana kwamba ni kwanini muhusika aliamua kuzungumza vile. Mifano yake ni hizi hapa;
- "If you want to steal, steal a little in a nice way. But if you steal too much to become rich overnight, you'll be caught". - Mobutu Sésé Seko kuku ngbendu wa za Banga
Kwa kiswahili, Mobutu Sésé Seko aliwahi kusema kwamba "Ukitaka kuiba, basi iba kidogo kidogo na kwa njia nzuri lakini ukiiba sana uwe tajiri kwa usiku mmoja, utakamatwa tu"
Nukuu nyingine hii hapa;
- "The only white man you can trust is a dead white man". - Robert Mugabe
Mugabe aliwahi kusema kwamba "Mtu mweupe (Mzungu) pekee wa kumuamini ni mtu mweupe aliyekufa"
Kuna nyingine nyingi tu kama;
Naam! hizo ni baadhi tu ya nukuu zenye jumbe za kufikirisha sana kutoka kwa watu mbalimbali maarufu waliowahi kuwepo hapo zamani na waliopo hivi sasa ambao walitoa mawazo yao tu kutokana na maswala mbalimbali waliyokutana nayo katika maisha yao ila jukumu la kukataa ama kukubaliana ni hicho walichokizungumza linabaki kuwa ni la mtu binafsi.
- Everything has its limit, Iron ore cannot be educated into gold. (Mark Twain)
- The difference between stupidity and genius is that genius has its limits. (Albert Einstein)
- An intelligent hell would be better than a stupid paradise. (Victor Hugo)
na Lincoln ndio point kuu ya hiyo quote...........Kwenye hiyo quote hapo sina shida napo. Wasiwasi wangu ni huyo Abraham Lincoln aliyeingia hapo kama msemaji wa hiyo quote...