SPECIAL THREAD kuhusu Wanawake: Njoo uulize chochote kuhusu wanawake na sisi wadada na wamama wa JF tutakujibu

Eeeh! Watoto watatu wametoka kwenye mbususu at once...hongera.

Nyie kenge kwa nini nyie single maza mnatamani kuolewa ila mitoto yenu ikileta single maza mnawakataaa?
ndio ukuu na ukubwa wa Mungu.Asante.
🤣🤣🤣Tunatamani kuolewa kwasababu ya upweke tu unakuta tunajiweza kwakila kitu ila tatizo upweke halafu maisha ya kuishi peke Yako sio mazuri kabisa Kuna kuumwa ghafla Kuna mda nafsi inachoka unahitaji farajanya mwenza wako.
Hatuwezi kukataa watoto wetu waoe single Maza hata siku moja .Mbona mabibti zetu wanaolewa na misingle faza hatuwasemeni
 
Nyie kenge kwa nini mnakasirika tukiwaomba 3some na huyo njemba tuliowafumania nae? Sii unapenda mboooo zetu sote basi tunakupea same time
 
Mnakataaa bwana....upweke gani bwana sii kuna kale kabomba bafuni
 
Sisi wanawake hua tunachuki tu automatic Yani ni maumbile naweza kusema hivo na hii chuku huletwa na wivu wa hutaki mwenzio apate Wala kukuzidi
 
NDIYO, sana tu

Binafsi hapana

NDIYO

Inategemea mtu na mtu

Inategemea, ila mwili unaoonyesha ukakamavu na siyo shida za kiafya.
Binafsi kwenye tendo mkuki tu uwe umesimama imara, vingine ni vionjo tu!
HILO SWALI LA NNE MMEKWEPA..
MARA NYING HUWA MNAANGALIA "MFUKO" A.K.A POCHI IMO TSH NGAPI
 
Kuvaa nguo fupi ni tabia ya mtu tu huwezi Kuta mdada mwenye anajiheshimu amevaa nguo fupi hadharani, ukiona ufupi wa nguo umezd basi anatafuta soko uyo
Mumbe hawa wote wavaa nguo fupi wanasaka mbooooo
 
Asante Sana mkuu,maana huwa kuna Mtu nagombana nae Mpaka imefika MDA nakaa kimyah walaji ni wawili msosi unapikwa WA Watu Wa 5 😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…