Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
Kwahyo unaona n sahihi kujenga kwa kificho?Nikalipe deni vikoba , utataka kujua mkopo nimechukua nimefanyia nini? Pengine hutaki kusikia habari hizo .
Michango ya party za marafiki, Kuna sare nataka ninunue nishone,
Nataka ninunue kiwanja kisirisiri usijue au najenga.
Nalima kijijini kwetu huko sijakushirikisha..
Pesa zangu Zina mambo mengi..
Vitu kama vyombo vya jikoni , nguo za watoto , mashuka , mapazia , decoration za ndani ya Nyumba wanaume wengi hawana budget nayo , hayo yote pesa ya mwanamke inafanyia kazi..
Kuna mengi ambayo ukimshirikisha mtagombana atakwambia unaendekeza mambo yasiyo na umuhimu kwahiyo ili tusigombane huwa hatuna hela siku zote.
😀😀Kamdanganye mtoto mna hela ila mnazionea sana ila kutumia hata kwa matumizi yenu inawauma.
kwani kwenye mahusiano na ndoani, kimo kinafunction kwa namna gani???Hatuwadharau, ila kuna wanawake nyinyi siyo machaguo yao.
Binafsi sijawahi kupenda kuwa na mwanaume ambaye nimemzidi urefu.
Ukiwa mfupi jitahidi sana kujijenga ili uwe na kitu cha kumuoffer mwanamke maana kwenye muonekano hapo tayari ni pagumu.
Kwa watu wengine kimo hakina function yoyote ila kwa wengine kinaleta mvuto wa kimapenzi na kumfurahia uliye naye.kwani kwenye mahusiano na ndoani, kimo kinafunction kwa namna gani???
Ooh sawa, ko ikiwa mwanaume mfupi Ana sifa zote za kuwa mumeo na mrefu ni wa hovyo sana, we utamchagua yupi???Kwa watu wengine kimo hakina function yoyote ila kwa wengine kinaleta mvuto wa kimapenzi na kumfurahia uliye naye.
Ni kama ambavyo baadhi ya wanaume wanapenda matr**ako au mat*ti makubwa, hayana function zaidi ya mvuto na kufurahiwa.
Ooh sawa, ko ikiwa mwanaume mfupi Ana sifa zote za kuwa mumeo na mrefu ni wa hovyo sana, we utamchagua yupi???
Si sahihi ila nimekujibu pesa zetu zinapokwenda...Kwahyo unaona n sahihi kujenga kwa kificho?
Kwahyo wanawake wote mnajengaSi sahihi ila nimekujibu pesa zetu zinapokwenda...
Huu ni uzi mzuri sana na ukitumika vizuri utatoa mafunzo kwa wanawake na wanaumeNiulize mimi na wanawake wa jamvini chochote kuhusu masuala ya wanawake, afya zao, mienendo n.k na tutakujibu kwa uwazi bila kupindisha pindisha maneno.
Feel free kuaddress swali lako directly kwa mwanamke wa JF kwa kumtag.
View attachment 3303058
No reform no election!Mazoea,kabla hamjatupata tunajiweka smart kiwavutia na kuwateka kiakili ,mkishatupata tunajisahau kupitia mazoea
👿Hii tabia yenu uwa inasababishwa na Nini?
Okey sawa sawaSio kweli joto ni mwili wa mtu tu
Kwanini nyie mnajipoteza kwa makusudi na huwa mnatafuta nini huko kwenye mav💩?Kwanini wanawake wengi mkiwekewa kidole au dyudyu ikigusa kwenye Tigo mnatulia badala mlete purukushani .....?
Na kwanini mnapiga kimnya kusikilizia tukipotea njia kwa makusudi?
Ngoja waje wakujibu watoto wa alfu mbili Anastasia21Kwanini mnabetua midomo, mkipiga self