Special thread: Kwa waliosoma shule moja na viongozi mbali mbali tukutane hapa kujua vituko vyao shuleni

Nilisoma na Julius Mtatiro, alikuwa kiongozi wa chakula alafu mtata kweli yule mkurya. Alikuwa akimdate dada mmoja anaitwa Grace na ilijulikana hadi na walimu ila hata hakufanywa lolote. Sijui ndio alikuja kumuoa!!
Anonekana alivyo mtata
 
Rtd General Davis Mwamunyange......Mawenzi Secondary School:1967 to 1970.
Alikuwa mpole na kichwa yake imejaa vitu....ni namba moja tu miaka yote hiyo,hajawahi kuwa wa pili.
Hekima na busara tokea shule alikuwa nazo.
Heshima kwake kabisa mungu amsaidie aendeleze hekima hiyo

Na aliyekuwa anakuwa wapili ni wewe baba ?
 
Dah kumbe kufoji mmeanza kitambo Lumumba. Anyway mi nilisoma na kingunge, alikuwa anakuja na ngozi ya mkia wa mbuzi siku ya mtihani ili kupigia mstari kwenye mtihani mana alikuwa ameinyoosha ngozi ile na kuikausha kama rula,
Ha ha ha ha dah nmejikuta nmecheka sana peke angu kisa hii post dah
 
Huyu jamaa ni kweli ni mzuri sana kichwani
 
Nilisoma na JPM jamaa alikuwa anakula sana maharage

Mwalimu wa hesabu akipita kukagua homework jamaa anajibana kwa mfumo wa kifutu anatoa kitu hicho mwalimu anarudi mwenyewe hapiti tena upande huo

Sijui kwa sasa Juma Maharage yuko wapi
 
Mkuu umesema nalowasa nahujamiliki gari kama hii .basi ww hujasoma nae [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Aha haha,mkuu mie ndiye nilikuaga 'kilaz.a' wao ujue,ila kiukweli Lowasa alikua kichwa sana,tatizo ni hilo tu la madawati na chaki kutoweka ktk mazingira tatanishi!
But hilo gari nadhani ni Range Velar,bisha!
 
Nilisoma na JPM jamaa alikuwa anakula sana maharage

Mwalimu wa hesabu akipita kukagua homework jamaa anajibana kwa mfumo wa kifutu anatoa kitu hicho mwalimu anarudi mwenyewe hapiti tena upande huo

Sijui kwa sasa Juma Maharage yuko wapi
acha kujilazimisha kuandika upupu ilihali nafsi yako inakusuta, andika mambo ya maana sio ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…