Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namna hiyo..!!!!Aisee
Anonekana alivyo mtataNilisoma na Julius Mtatiro, alikuwa kiongozi wa chakula alafu mtata kweli yule mkurya. Alikuwa akimdate dada mmoja anaitwa Grace na ilijulikana hadi na walimu ila hata hakufanywa lolote. Sijui ndio alikuja kumuoa!!
Heshima kwake kabisa mungu amsaidie aendeleze hekima hiyoRtd General Davis Mwamunyange......Mawenzi Secondary School:1967 to 1970.
Alikuwa mpole na kichwa yake imejaa vitu....ni namba moja tu miaka yote hiyo,hajawahi kuwa wa pili.
Hekima na busara tokea shule alikuwa nazo.
Nilimaliza pale mwaka 1992....heshima kwako mkuu!Nadhani Musoma sekondari! Sina kumbukumbu nzuri......kabla ya muda wa msosi yeye alishafika jikoni na kujimegea dishi zima la nyama!au?[emoji12]
Ha ha ha ha dah nmejikuta nmecheka sana peke angu kisa hii post dahDah kumbe kufoji mmeanza kitambo Lumumba. Anyway mi nilisoma na kingunge, alikuwa anakuja na ngozi ya mkia wa mbuzi siku ya mtihani ili kupigia mstari kwenye mtihani mana alikuwa ameinyoosha ngozi ile na kuikausha kama rula,
Huyu jamaa ni kweli ni mzuri sana kichwaniMWIGULU NCHEMBA alikuwa anaweza sana darasani, na aliwaogopa sana aanawake, nakumbuka alipenda sana economics, mwalimu kabla hajamaliza kufundisha anauliza nchemba unasemaje , anasimama na kitabu chake anaanza kudondosha nondo, kwa kifupi jamaa ni bright sana,
Siku moja kwenye paper wengine tumetumia booklet Moja ye anaandika uku amenyoosha mkono wa kushoto anaomba ya tatu inamaana ya pili pia Imejaa,
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nani mkuuMimi nilisoma na kubwa la madui huyu jamaa alikuwa anakuwa wa mwisho kwenye mitihani
Mkuu umesema nalowasa nahujamiliki gari kama hii .basi ww hujasoma nae [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Samahani mkuu,hiyo kwenye avatar yako Ni aina gani ya gari?nimelupenda kinyama!
We nawe Muhenga kwelNilisoma na Julius Mtatiro, alikuwa kiongozi wa chakula alafu mtata kweli yule mkurya. Alikuwa akimdate dada mmoja anaitwa Grace na ilijulikana hadi na walimu ila hata hakufanywa lolote. Sijui ndio alikuja kumuoa!!
Aha haha,mkuu mie ndiye nilikuaga 'kilaz.a' wao ujue,ila kiukweli Lowasa alikua kichwa sana,tatizo ni hilo tu la madawati na chaki kutoweka ktk mazingira tatanishi!Mkuu umesema nalowasa nahujamiliki gari kama hii .basi ww hujasoma nae [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
acha kujilazimisha kuandika upupu ilihali nafsi yako inakusuta, andika mambo ya maana sio ujingaNilisoma na JPM jamaa alikuwa anakula sana maharage
Mwalimu wa hesabu akipita kukagua homework jamaa anajibana kwa mfumo wa kifutu anatoa kitu hicho mwalimu anarudi mwenyewe hapiti tena upande huo
Sijui kwa sasa Juma Maharage yuko wapi
Lowasa anarohonzuri saana .ungekuwa hata mpambe wake mpaka Leo ungemiliki kamahiyo .Aha haha,mkuu mie ndiye nilikuaga 'kilaz.a' wao ujue,ila kiukweli Lowasa alikua kichwa sana,tatizo ni hilo tu la madawati na chaki kutoweka ktk mazingira tatanishi!
Peleka upumbavu huko aliyekulazimisha kusoma nani?acha kujilazimisha kuandika upupu ilihali nafsi yako inakusuta, andika mambo ya maana sio ujinga