Kwa wote ambao tumemuona gaucho hatuwez kumkosea adabu huyu anayemponda gaucho ameanza kuifatilia barca ya vilanova kwahyo mambo aliyofanya gaucho kamwe hawez kuyajuaSio kosa lako umeanza kuangalia futbol mwaka 2011.
Sisi tulio muona Ronaldinho tunamjua how alivo kiwa blessing
Wengi hawa ni madogo wameanza kuishabikia Barca kipindi cha Pep, sasa wewe mtu ana muweka riquelme juu ya Gaucho ana maana kweli huyu?Kwa wote ambao tumemuona gaucho hatuwez kumkosea adabu huyu anayemponda gaucho ameanza kuifatilia barca ya vilanova kwahyo mambo aliyofanya gaucho kamwe hawez kuyajua
Gaucho ana kopa delay ngap?Wengi hawa ni madogo wameanza kuishabikia Barca kipindi cha Pep, sasa wewe mtu ana muweka riquelme juu ya Gaucho ana maana kweli huyu?
KING MESSI weka mbali na uchafu gauchoTeam Messi imefikia hatua ya kumponda gaucho wakat amecheza mbele ya Messi na among'ara, ukimponda gaucho kwajili ya Messi utakuwa na mtindio wa ubongo
Gaucho ana kopa delay ngap?
Punguza pombe mdogo wanguKING MESSI weka mbali na uchafu gaucho
Punguza pombe mdogo wangu
Ukiwa sober nistue tubishane hapa
Punguza mbege mzee, gaucho ni nani kwako mbona wamtukuza kihivyo jombaa, au bikozi anakaublack kwammbali ndiyomaaana unampaisha pasipostahili.....tatizo munapenda kumsifia mtu bila fact ndio tatizo la bongo dah
We jamaa huo sasa ni ubashite wa mpira, sasa nabii Ronaldinho nimsifie vipi kwa facts, si u google kama humjui?
Na kwa kudhirisha hilo kashinda kila aina ya kombe alilo shindania duniani hapa.
Pia ni mchezaj bora wa dunia mara 2
Tatizo mdogo wangu umeivamia barca baada ya kuja Pep ndio maana hukumuona mtume na nabii
HahahaMTANI May be nikawa mkubwa kwako kiumri ila umejiwahi tu kuniita mndogo wako. Ok yataje hayo makombe aliyoyapata ni mangapi? Na kwa msaada wake yeye binafsi kama tunavyomuona Mchawi anaipatia tim yake makombe ya kumwaga?
2. Mchezaji bora mara mbili si tatizo wapo wengi tu wamemzidi idadi ya uchezaji bora na ni wachezaji bora zaidi yake, hapa tunachoangalia kautendea vipi mpira na kuipatia mafanikio tim yake?
In short gaucho usimpange kabisa na hawa utakua unakosea kabisa,
Na wapo wengi tu wamemzidi malizia mwenyewe,
- King Messi
- King Diego
- Pele
- Alfredo de stefano
- Zizzo
- Cr7 nikiweka ushabiki pembeni huyu jamaa yako angalau kajitahidi kiasi fulani katika club yake so napaswa kumsifia kwa yale aliyoyafanya, huyu naweza nikasema ni zaidi ya kicheko japo kicheko amecheza club yangu.