Special thread : Messi Magics

Special thread : Messi Magics

Sio kosa lako umeanza kuangalia futbol mwaka 2011.
Sisi tulio muona Ronaldinho tunamjua how alivo kiwa blessing
Kwa wote ambao tumemuona gaucho hatuwez kumkosea adabu huyu anayemponda gaucho ameanza kuifatilia barca ya vilanova kwahyo mambo aliyofanya gaucho kamwe hawez kuyajua
 
Kwa wote ambao tumemuona gaucho hatuwez kumkosea adabu huyu anayemponda gaucho ameanza kuifatilia barca ya vilanova kwahyo mambo aliyofanya gaucho kamwe hawez kuyajua
Wengi hawa ni madogo wameanza kuishabikia Barca kipindi cha Pep, sasa wewe mtu ana muweka riquelme juu ya Gaucho ana maana kweli huyu?
 
Punguza pombe mdogo wangu

Ukiwa sober nistue tubishane hapa

Punguza mbege mzee, gaucho ni nani kwako mbona wamtukuza kihivyo jombaa, au bikozi anakaublack kwammbali ndiyomaaana unampaisha pasipostahili.....tatizo munapenda kumsifia mtu bila fact ndio tatizo la bongo dah
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Punguza mbege mzee, gaucho ni nani kwako mbona wamtukuza kihivyo jombaa, au bikozi anakaublack kwammbali ndiyomaaana unampaisha pasipostahili.....tatizo munapenda kumsifia mtu bila fact ndio tatizo la bongo dah

We jamaa huo sasa ni ubashite wa mpira, sasa nabii Ronaldinho nimsifie vipi kwa facts, si u google kama humjui?
Na kwa kudhirisha hilo kashinda kila aina ya kombe alilo shindania duniani hapa.
Pia ni mchezaj bora wa dunia mara 2
Tatizo mdogo wangu umeivamia barca baada ya kuja Pep ndio maana hukumuona mtume na nabii
 
MTANI May be nikawa mkubwa kwako kiumri ila umejiwahi tu kuniita mndogo wako. Ok yataje hayo makombe aliyoyapata ni mangapi? Na kwa msaada wake yeye binafsi kama tunavyomuona Mchawi anaipatia tim yake makombe ya kumwaga?

2. Mchezaji bora mara mbili si tatizo wapo wengi tu wamemzidi idadi ya uchezaji bora na ni wachezaji bora zaidi yake, hapa tunachoangalia kautendea vipi mpira na kuipatia mafanikio tim yake?

In short gaucho usimpange kabisa na hawa utakua unakosea kabisa,
  1. King Messi
  2. King Diego
  3. Pele
  4. Alfredo de stefano
  5. Zizzo
  6. Cr7 nikiweka ushabiki pembeni huyu jamaa yako angalau kajitahidi kiasi fulani katika club yake so napaswa kumsifia kwa yale aliyoyafanya, huyu naweza nikasema ni zaidi ya kicheko japo kicheko amecheza club yangu.
Na wapo wengi tu wamemzidi malizia mwenyewe,
 
Hahaha
Kweli mtani si kosa lako ulikuwa mdogo
Hukumbuki goli la Ronaldinho Fainali ya Copa America 1999?
Hukimbuki bao safi kabsa lilio wavusha brazil robo fainali dhid ya england 2002 wakawa mabingwa wa dunia later?
Hukumbuki Ronaldinho anafunga argentina 2005 wana chukua ubingwa wa FIFA confed?

Ndio vile nasema hukumwona unazungumza tu Gaucho, kwente club nako kashinda kila kitu!

Mna wavamia tu hao kina Messi, kama yeye mjanja mbona hata Copa America tu ina mshinda!?

Ndugu yangu pole sana kama hukimshuhudia Gaucho, baba wa burudani ya soka
 
Kwa ubishi tu sikuwezei aise! Utafikiri wewe ndiyo unamjua gaucho, ndio tatizo la wabongo wengi wanajifanya wajuaji wakati wabrazil,ulaya hawamtambui huyu kicheko wako...sasa mi nikuache tu umfagilie lakini ukweli utabakia palepale hakua lolote, na usithubutu kabisa kumlinganisha na hao niliowataja watakucheka wadau. Huyo gaucho wako ni mzuri tu na amecheza vizuri lakini hakuwa na msaada wowote katika tim hilo ulijue, alaf huto tugoli tumechoka kusikia kila siku vigoli vyenyewe vya kubahatisha, mara uingereza sijui alifunga goli la mbali, unawajua lakin waliowahi kufunga magoli ya mbali na mengi hayahesabiki kwa taarifa yako, /hapa messi namweka pending/ ingia you tube mwangalie Dona uone magoli yake, kuna goli kafunga akiwa kati kati kidogo ya uwanja may be 60 mitres na mengine kibao, sasa wewe kila siku unatuletea habari hizi hizi bhanaaa hebu badilika kidogo, au unashushia cha Arusha nini😀 wewe endelea kumfagilia wakati yeye anakula bata huko alipo
 
Messi inabidi anyang'anywe trophies zote.kwenye makuzi yake alitumia Human Growth hormones(HGH) the same product Lance Armstrong alitumia na akafungiwa kushindana mbio za baiskeli na trophies zote kuchukuliwa..Messi ni super human hatakiwi kushindana na binadamu wa kawaida...iko siku ukweli utafahamika na double standards zitaisha
...
 
Back
Top Bottom