MTANI May be nikawa mkubwa kwako kiumri ila umejiwahi tu kuniita mndogo wako. Ok yataje hayo makombe aliyoyapata ni mangapi? Na kwa msaada wake yeye binafsi kama tunavyomuona Mchawi anaipatia tim yake makombe ya kumwaga?
2. Mchezaji bora mara mbili si tatizo wapo wengi tu wamemzidi idadi ya uchezaji bora na ni wachezaji bora zaidi yake, hapa tunachoangalia kautendea vipi mpira na kuipatia mafanikio tim yake?
In short gaucho usimpange kabisa na hawa utakua unakosea kabisa,
- King Messi
- King Diego
- Pele
- Alfredo de stefano
- Zizzo
- Cr7 nikiweka ushabiki pembeni huyu jamaa yako angalau kajitahidi kiasi fulani katika club yake so napaswa kumsifia kwa yale aliyoyafanya, huyu naweza nikasema ni zaidi ya kicheko japo kicheko amecheza club yangu.
Na wapo wengi tu wamemzidi malizia mwenyewe,