Special thread : Messi Magics

Nimejitahid kuwafatilia mwa ukaribu saana.. ni pele pekee yake anaweza kuwa juu ya messj, kwenye vyote, alikiwa na dribbling nzur, japo miundombinu ikikuwa hoi, alikuwa mfungaji mzur, alikiwa mwepesi, kikubwa alikuwa na skills za hali ya juu.aliyokuwa anayafanya kipindi kile angezaliwa enzi hizi basi nahisi angefanya ya ajabu zaid

Maradona hana driblling nzur kumzid messi, halaf alikuwa mzito kidogo kuliko messi, kwenye skills maradona alikuwa mzuri kidogo kuliko andunje...




Yote kwa yote tumebarikiwa kumuona moja kati ya vipaji vya ajabu kwenye soka, ajitahid kunyanyua kwapa kombe la dunia, heshima yake itakuwa kubwa, watakoma kumfananisha na robot cr7...
 
Maskini weee, sijui nisemaje umemtaja moja kati ya mafundi wa mpira, ila bahati mbaya gaucho si mzur zaid kwenye dribbling, kaangalie vizur
 
Wewe unauhakika gani zilidukuliwa, au unamsikiza Mourinho
 
Wewe unauhakika gani zilidukuliwa, au unamsikiza Mourinho

Wewe una uhakika gani hazikudukuliwa.? au ulimsikiliza blatter.? BTW, hakuwa mourinho tuu aliyeclaim kura kudukuliwa kulikuwa na macaptain wengi walilalamika kuwa hawakumpigia messi kura ila kura zao ilionekana zimeenda kwa messi. mmoja wa waliolalamika alikuwa Goran Pandev. Do your homework properly instead ya kukanusha pasipo uthibitisho.
 
Gaucho kashapitishwa mtakatifu??
 
Kafunga zidi ya timu gan nataka nilicheki hilo
 
kwanini GAUCHO anitwa MAGIC PLAYER nafikiri ukigoogle utapata majibu na ukitaka kuujua ubovu wa messi mpeleke timu nyingine ndo utajua
Sasa we umejuaje ubovu wakati bado hajaenda hiyo timu nyingine?
Au ndo umajifunza kutabili yajayo!
 



Katika kipindi cha miezi 10 ya mwaka 2017 Mchezaji bora kuwahi kutokea katika ulimwengu wa soka almaarufu King Messi Lapulga__ameshacheza mechi 49 na amefunga magoli 49 idadi kubwa kuliko mchezaji yoyote kwa kipindi hicho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…