Special thread : Messi Magics

Special thread : Messi Magics

Nimejitahid kuwafatilia mwa ukaribu saana.. ni pele pekee yake anaweza kuwa juu ya messj, kwenye vyote, alikiwa na dribbling nzur, japo miundombinu ikikuwa hoi, alikuwa mfungaji mzur, alikiwa mwepesi, kikubwa alikuwa na skills za hali ya juu.aliyokuwa anayafanya kipindi kile angezaliwa enzi hizi basi nahisi angefanya ya ajabu zaid

Maradona hana driblling nzur kumzid messi, halaf alikuwa mzito kidogo kuliko messi, kwenye skills maradona alikuwa mzuri kidogo kuliko andunje...




Yote kwa yote tumebarikiwa kumuona moja kati ya vipaji vya ajabu kwenye soka, ajitahid kunyanyua kwapa kombe la dunia, heshima yake itakuwa kubwa, watakoma kumfananisha na robot cr7...
 
Unachekesha tena naona kama unamihemko kama mtu aliekurupushwa Guest,na nafikiri ndio mara yako ya kwanza kuona Dribbling kwenye Soka kwanza huyo Messi wako hamfikii Denilson kwa Dribbling,kwa taarifa yako hakuna kama St. Gaucho kwenye Dribbling,narudia tena hakuna kama St. Gaucho,never and ever,sio Zidane,C.Ronaldo,Redondo et al.
Maskini weee, sijui nisemaje umemtaja moja kati ya mafundi wa mpira, ila bahati mbaya gaucho si mzur zaid kwenye dribbling, kaangalie vizur
 
you cant be serious goli hizo 92 messi alifunga mwaka 2012 na siyo 2010. Yaani bado haielezeki ile tuzo ya 2010 messi aliipataje. Na serious ile tuzo ya 2010 ilikuwa ni kubebwa live, Kama unakumbuka ni tuzo ile Mourinho alilalamika kura walizopiga zilidukuliwa na hazikupewa kwa wale waliowapigia.


Au una cha kujustify kuwa ni kivipi messi 2010 tuzo ya Ballon dor aliipataje.?
Wewe unauhakika gani zilidukuliwa, au unamsikiza Mourinho
 
Wewe unauhakika gani zilidukuliwa, au unamsikiza Mourinho

Wewe una uhakika gani hazikudukuliwa.? au ulimsikiliza blatter.? BTW, hakuwa mourinho tuu aliyeclaim kura kudukuliwa kulikuwa na macaptain wengi walilalamika kuwa hawakumpigia messi kura ila kura zao ilionekana zimeenda kwa messi. mmoja wa waliolalamika alikuwa Goran Pandev. Do your homework properly instead ya kukanusha pasipo uthibitisho.
 
Unachekesha tena naona kama unamihemko kama mtu aliekurupushwa Guest,na nafikiri ndio mara yako ya kwanza kuona Dribbling kwenye Soka kwanza huyo Messi wako hamfikii Denilson kwa Dribbling,kwa taarifa yako hakuna kama St. Gaucho kwenye Dribbling,narudia tena hakuna kama St. Gaucho,never and ever,sio Zidane,C.Ronaldo,Redondo et al.
Gaucho kashapitishwa mtakatifu??
 
Honestly dinho hayumo hata top ten ya best dribblers .. huyu messi kuchukua mpira katikati na kwenda nao hadi golini ni issue ya kawaida na anafanya kila mara (dinho alikuwa na uwezo huo lakini mara chache ). Juzi alivorudi kafunga goli hadi ibrahimovic kasema hiki kitu hakiwezekani kwa player wa kawaida kinapatikana kwenye computer games tu ....
Kafunga zidi ya timu gan nataka nilicheki hilo
 
kwanini GAUCHO anitwa MAGIC PLAYER nafikiri ukigoogle utapata majibu na ukitaka kuujua ubovu wa messi mpeleke timu nyingine ndo utajua
Sasa we umejuaje ubovu wakati bado hajaenda hiyo timu nyingine?
Au ndo umajifunza kutabili yajayo!
 
3838-messi-ecuador.jpg



Katika kipindi cha miezi 10 ya mwaka 2017 Mchezaji bora kuwahi kutokea katika ulimwengu wa soka almaarufu King Messi Lapulga__ameshacheza mechi 49 na amefunga magoli 49 idadi kubwa kuliko mchezaji yoyote kwa kipindi hicho.
 
Back
Top Bottom