Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maskini weee, sijui nisemaje umemtaja moja kati ya mafundi wa mpira, ila bahati mbaya gaucho si mzur zaid kwenye dribbling, kaangalie vizurUnachekesha tena naona kama unamihemko kama mtu aliekurupushwa Guest,na nafikiri ndio mara yako ya kwanza kuona Dribbling kwenye Soka kwanza huyo Messi wako hamfikii Denilson kwa Dribbling,kwa taarifa yako hakuna kama St. Gaucho kwenye Dribbling,narudia tena hakuna kama St. Gaucho,never and ever,sio Zidane,C.Ronaldo,Redondo et al.
Wewe unauhakika gani zilidukuliwa, au unamsikiza Mourinhoyou cant be serious goli hizo 92 messi alifunga mwaka 2012 na siyo 2010. Yaani bado haielezeki ile tuzo ya 2010 messi aliipataje. Na serious ile tuzo ya 2010 ilikuwa ni kubebwa live, Kama unakumbuka ni tuzo ile Mourinho alilalamika kura walizopiga zilidukuliwa na hazikupewa kwa wale waliowapigia.
Au una cha kujustify kuwa ni kivipi messi 2010 tuzo ya Ballon dor aliipataje.?
We ulishawahi kumjaribu kwenye timu nyingine au unaongozwa na mihemko?kwanini GAUCHO anitwa MAGIC PLAYER nafikiri ukigoogle utapata majibu na ukitaka kuujua ubovu wa messi mpeleke timu nyingine ndo utajua
Wewe unauhakika gani zilidukuliwa, au unamsikiza Mourinho
Gaucho kashapitishwa mtakatifu??Unachekesha tena naona kama unamihemko kama mtu aliekurupushwa Guest,na nafikiri ndio mara yako ya kwanza kuona Dribbling kwenye Soka kwanza huyo Messi wako hamfikii Denilson kwa Dribbling,kwa taarifa yako hakuna kama St. Gaucho kwenye Dribbling,narudia tena hakuna kama St. Gaucho,never and ever,sio Zidane,C.Ronaldo,Redondo et al.
Kafunga zidi ya timu gan nataka nilicheki hiloHonestly dinho hayumo hata top ten ya best dribblers .. huyu messi kuchukua mpira katikati na kwenda nao hadi golini ni issue ya kawaida na anafanya kila mara (dinho alikuwa na uwezo huo lakini mara chache ). Juzi alivorudi kafunga goli hadi ibrahimovic kasema hiki kitu hakiwezekani kwa player wa kawaida kinapatikana kwenye computer games tu ....
Sasa we umejuaje ubovu wakati bado hajaenda hiyo timu nyingine?kwanini GAUCHO anitwa MAGIC PLAYER nafikiri ukigoogle utapata majibu na ukitaka kuujua ubovu wa messi mpeleke timu nyingine ndo utajua
Kafunga zidi ya timu gan nataka nilicheki hilo
Weweee...... namkubali mess ila gaucho baba lao au ww umeanza kuangalia mpira 2017Akina Pele, Maradona, Ronadinho, etc - hao woote wamepita.
Lakini je, nani kati yao aliyemzidi Messi kwenye uchawi wa ku-dribble (msisahau na kufunga pia)??
Embu mchekini huyu wizard kwenye hii clip.....Lionel Messi Is The King Of Dribbling
Tukubali ukweli..... Messi is merciless!!