sacajo
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 1,385
- 4,493
Ndio kuna tatzo....we utampenda vp m2 ambaye hajuiKwani kuna tatizo?
CR7 baby [emoji7][emoji7][emoji7]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio kuna tatzo....we utampenda vp m2 ambaye hajuiKwani kuna tatizo?
CR7 baby [emoji7][emoji7][emoji7]
Kwa comment hii,nimejisikia vibaya kugundua nimepoteza muda wangu kwa kuargue na mtu asiyestahili![emoji22][emoji22][emoji22]Ndio kuna tatzo....we utampenda vp m2 ambaye hajui
ndiyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooKila Mbabe ana mbabe wake
![]()
Hebu tuacheni na messi wetu bac...Kwa comment hii,nimejisikia vibaya kugundua nimepoteza muda wangu kwa kuargue na mtu asiyestahili![emoji22][emoji22][emoji22]
Uongo upi? Kwahiyo wamemsingizia kwa swala la kukwepa kodi? Kama ana sifa nyingine unaijua wewe....mie naijua sifa moja tu "MKWEPA KODI"
Ni mess kweli mana anakwepa sana kodi.
Loh nim mind mess......sijawahi hata kwa bahati mbaya.Sema umem-mind to....
Mkumbo upi? Jumatatu njema.Watu ka wewe wakufuata mkumbo tabu mno..naona umekazania "kodi kodi" una ushahidi wowote?
Loh nim mind mess......sijawahi hata kwa bahati mbaya.
Bora unipe namba ya balotelli kuliko messi.😀😀😀😀sema tu untaka nikuunganishie, au nikupe namba yake?but tarehe 1 atakua bize huko Buenos Aires na akina Suarez.....
Bora unipe namba ya balotelli kuliko messi.
Garrincha alikuwa anawapiga watu chenga hadi wanachoka na yeye anaamua kuuchezea mpira huku akitembea taratibu... Chenga za Maudhi hata Ronadinho hajamfikia...