Special thread : Messi Magics

Special thread : Messi Magics

Weweee...... namkubali mess ila gaucho baba lao au ww umeanza kuangalia mpira 2017

Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app

Maneno mengi yanini jombaa. Huyo gauni anakitu gani mpaka umsifie kihivyo??? Niletee alipo kwenye 10 bora. Na kama utampata kwenye 10 bora na utaniletea. Naomba mods wanipige ban la kudumu

Najua hakuna na hajafikia ata robo ya King messi, basi wachache tu mliomo jamiiforums munapenda kumtukuza wakati wataalamu wa soka na wanaolijua soka zaidi yetu hawamtambui huyo gauni.
 
Gaucho was the best lakini kwenye top ten ya watu wanao dribble hayumo.. Tuwe wakweli mkuu

Na ukimuomba akuletee alipo kwenye 10 bora haleti mzee. Yeyote aliomo humu jamiiforums na nje ya jamiiforums ukimuimba facts evidence and statistics hakuletei.

Hivyo tuwazoee tu.co mbaya kujifurahisha ndivyo binaadamu tumeumbwa.
 
Embu mchekini huyu wizard kwenye hii clip.....Lionel Messi Is The King Of Dribbling

Tukubali ukweli..... Messi is merciless!!

Mimi naona yuko kwenye top three ya wachezaji wazuri wa muda wote. Lakini Behind Pele may be same as Maradona. Kwa sababu hawa walikuwa waliweza kuisnpire timu zao kupata World Cup. Lakini kama tunaongea kuhusu this generation he is undisputed King. Nafikiri kama Pele angekuwa anacheza leo angefanya mambo makubwa kuliko Messi.
 
Na ukimuomba akuletee alipo kwenye 10 bora haleti mzee. Yeyote aliomo humu jamiiforums na nje ya jamiiforums ukimuimba facts evidence and statistics hakuletei.

Hivyo tuwazoee tu.co mbaya kujifurahisha ndivyo binaadamu tumeumbwa.

Ushabiki tu usio na msingi , dinho siyo wa zamani kusema watu hatukumuona, tatizo watu ukiwaambia dinho kazidiwa wanadhani ume sema alikuwa mbovu... . Jamaa alikuwa mzuri sana ila kwa Messi hana nafasi
 
Kabisa. Umeongea fact kiongozi
 
Mimi naona yuko kwenye top three ya wachezaji wazuri wa muda wote. Lakini Behind Pele may be same as Maradona. Kwa sababu hawa walikuwa waliweza kuisnpire timu zao kupata World Cup. Lakini kama tunaongea kuhusu this generation he is undisputed King. Nafikiri kama Pele angekuwa anacheza leo angefanya mambo makubwa kuliko Messi.

Na ndo maana inakuwa ngumu kusema nani bora wa mda wote . Mazigira ya sasa na zamani ni tofauti lakini personally Messi namuona Kama hajawahi kutokea kwa tabia na kiuchezaji /Uwezo wa uwanjani.

Baadhi wanasema uwezo wake umechagizwa na hormone za ukuaji alizokuwa anapigwa Kama sindano,

Kwamba zile hormone zinamfanya awe na machale “instincts” , awe na acceleration yan uwezo wa kupata speed kubwa kwa mda mfupi (angalia Messi vs humels wcup, hiki kitu utakiona) , wanasema zile hormone za ukuaji zinamfanya mtu awe na “pace na uwezo wa kubadili direction na kutotabilika ” kubwa, kipindi ambacho wenzake wamechoka yeye ndo anaanza dribbling , angalia magoli yake kuanzia dk ya 70 .

Kile kimo kinampa Uwezo wa kupenya sehem ngumu, angalia maradona pia ..

Kumalizia sijaona mchezaji ana timing Kama Messi na hii ndo weapon yake kubwa iwe wakati wa physic , chenga au ku-shoot.
 
Pele aling'ara kipindi hicho kwa sababu sheria kibao hazikuwepo mkuu. ikiwemo offside free,, kwa sasa asingeonekana kama ufikiriavyo. Kwanza sheria zimeanza kipindi cha The Genuine Phenomenon/Diego Armando Maradona.mzee wa kuuchezea mpira atakavyo.

Hata hizo goli 1000 zicngepatikana kipindi hichi cha technologies. Sana sana angeambulia only 400 goals.
 
Kiongozi Upo vizuri mno kwa uchambuzi.big up aise
 
Bro uko sahihi, Lakini kumbuka wakati Pele anacheza yaani referees walikuwa wanaruhusu mambo mengi sana, mpaka atoe red card you must be nearly dead. Messi asingeweza kusurvive hata kwa misimu saba wakati wa pele anacheza. Kumbuka hata mpira hulikuwa mzito sana wanaochezea.

Leo sheria za Football zinawasaidia na kuwalinda sana wachezaji ambao ni washambulizi. Pele alikuwa extremely tough, very skillful and determined, Alijaribu vitu vingi sana ambavyo nobody else try before him. Wanasema alianzisha bicycle free kick. His mind / brain was on different level to anybody else. Hebu angalia kwanza hii video wakati wa pele anacheza.

Check out also this video, do you think messi will have survive din this environment.

Pele aling'ara kipindi hicho kwa sababu sheria kibao hazikuwepo mkuu. ikiwemo offside free,, kwa sasa asingeonekana kama ufikiriavyo. Kwanza sheria zimeanza kipindi cha The Genuine Phenomenon/Diego Armando Maradona.mzee wa kuuchezea mpira atakavyo.

Hata hizo goli 1000 zicngepatikana kipindi hichi cha technologies. Sana sana angeambulia only 400 goals.

Bro, Pele alikuwa kwenye different level, Unafikiri Messi angeweza hata kucheza miaka mitano, wakati watu wanakushika nguo zako na mwili wako halafu hawapati redcards, wanajaribu kuvunja mguu wako, kick you anywhere?

Bro, Kitu cha kwanza unabidi huwe na very tough body and mind. Sizani kama kuna alikuwa na better quick brain, mind and body and feet than Pele.
 
Bro uko sahihi, Lakini kumbuka wakati Pele anacheza yaani referees walikuwa wanaruhusu mambo mengi sana, mpaka atoe red card you must be nearly dead. Messi asingeweza kusurvive hata kwa misimu saba wakati wa pele anacheza. Kumbuka hata mpira hulikuwa mzito sana wanaochezea.

Leo sheria za Football zinawasaidia na kuwalinda sana wachezaji ambao ni washambulizi. Pele alikuwa extremely tough, very skillful and determined, Alijaribu vitu vingi sana ambavyo nobody else try before him. Wanasema alianzisha bicycle free kick. His mind / brain was on different level to anybody else. Hebu angalia kwanza hii video wakati wa pele anacheza.

Check out also this video, do you think messi will have survive din this environment.

Hilo nakubali , zamani viwanja vilikuwa vibovu na mazingira na care ilikuwa ndogo lakini hii siyo final judgment ya ubora wa mchezaji

kwa upande wa sasa pia usisahau kwamba beki zimekuwa more athletic , yan wanapata training za hali ya juu , wanapata care za hali ya juu, wachezaji wamekuwa professionals yan beki anaweza kufanya mazoezi mwezi mzima ili amzuie Messi, unakuta mtu kazi yake ni mpira tu mwanzo mwisho Kwa hiyo at the end of the day ubora unakuwa juu sana, ila hawa hawa professional Messi kawafanya wajinga, akiwa kwenye kiwango chake mabeki utawaonea huruma..

Kwa upande mwingine wa fauls , fujo na kadi, nikwambie tu mpaka sasa hamna mchezaji amekuwa fair Kama Messi , dogo huwa hajiangushi, haombi faul za kijinga, hajiwekei mitego ya kuomba omba Penalt n.k .. hana janja janja hata kidogo , kwa kifupi ni fighter mzuri sana

Kwa hiyo kwa upande mwingine huwezi sema fulani ni bora kisa kacheza kipindi flani , hii ni ngumu sana

Hilo nakubali , zamani viwanja vilikuwa vibovu na mazingira na care ilikuwa ndogo lakini hii siyo final judgment ya ubora wa mchezaji

Kwa upande mwingine wa fauls , fujo na kadi, nikwambie tu mpaka sasa hamna mchezaji amekuwa fair Kama Messi , dogo huwa hajiangushi, haombi faul za kijinga, hajiwekei mitego ya kuomba omba Penalt n.k .. hana janja janja hata kidogo , kwa kifupi ni fighter mzuri sana

Kwa hiyo kwa upande mwingine huwezi sema fulani ni bora kisa kacheza kipindi flani , hii ni ngumu sana

kama kila kitu kimeimprove, ubora umekuwa juu wa viwanja, sheria za kuwalinda washambuliaji, diet, exercise, sports science, technology na medical facilities. It means Pele would also improve and may be twice as good. Pele angekuwa anacheza vizuri sana kwa ajiri ya vitu hivi.

Pia nakubali Messi he is honesty player, better than most. Sawa na Pele alivyokuwa. They are not actors but serious footballer who want to win in fair fashion.
 
Kwa hiyo kwa upande mwingine huwezi sema fulani ni bora kisa kacheza kipindi flani , hii ni ngumu sana.

Bro, siyo kitu kigumu sana. Pele alikuwa anafanya vitu ambavyo hamna mtu yoyote ajafanya. Messi anafanya vitu Pele alivyofanya miaka 60 iliyopita.

Pele has trickery ability of Messi, Determination of Maradona, and will to win of Cristiano Ronaldo.

Bro, waweke hao watatu pamoja ndio utampata Pele.

Alishinda World Cup ya Kwanza akiwa na miaka 17, akifunga 6 goals against big teams like France and Sweden mtu mweusi wakati wa ubaguzi mkubwa sana.

1. Unatakiwa uwe mchezaji mzuri sana kuwa kwenye timu.

2. Kuwa mdogo kuliko wote, tatu wakubwa wote wawe wanakuheshimu, kukutegemea na kukusikiliza. Halafu uweze kuchukua pressure na pia to score most goals.

3. Kuchukua pressure zote na kucheza kama uko mtaani. Kanzu na vitu kama hivyo. Kwa miaka 17 you got to be genious, and he was.

Halafu angalia chini ya hiyo video watu wengi kutoka duniani wote wanavyosema wanaojua mpira (Soccer). Maoni yao.

Hapa angalia Pele na Maradona.

Angalia chini ya hiyo video watu wengi kutoka duniani kote wanavyosema.

Bro he is the greatest player ever.
 
Bwana charles umeanza lini kufatilia mpira??? Dah maajabu ya dunia haya!!!! Yaani unathubutu kumlinganisha King Messi na pele___tena kwa wakati huu mgumu sheria kibao!!!!

Tunakosea mno kumlinganisha King Messi na vitu vya kijinga. Tuwe wakweli wakati mwingine bwana.sio 2naongea tu
 
Sawa sawa bro, football ni maoni.
 
Kuna watu unawazaga kumwomba Mungu awaweke milele wawe wanakupa burudani siku zote za maisha yako ila haiwezekani..

Kuna Messi, kuna Gaucho, kuna Zizzou na kuna Okocha

Hao mafundi wa mpira dunia hii sijui kama tutaona wengine.

Wachezaji wengine wote wakasome.

Honourable mentions..

Luis Suarez huyu jamaa ukiachana na tabia zake za kijinga basi huyu ni mchezaji niliependa sana kazi yake, yani shughuli yake beki zinakuwa zinajijambia mda wote awe na mpira asiwe nao shughuli yake sio mchezo.

Frank Lampard, Chogo Henry, Stevie G... Hawa watu bwana shughuli yao ilikua sio mchezo. Kinachoniumaga ni Stevie G kutoshinda kikombe cha EPL ila huyu bwana nahisi ule mguu wake wa kulia una uzito mkubwa kuliko wa kushoto, sio kwa thunderbolt zile..

Kuna game moja Olympiacos vs Liverpool mwaka 2005 kama sijakose mjinga alipiga duki moja mpaka commentator Peter Drury akabaki kusema "Gerrarddddddddddd...... What a hit son, what a hit"

Pipo Inzaghi, huyu jamaa jina lake halikuwika sanaaa ila huyu alikua mchawi wa fainali, alikua akifunga magoli muhimu tu. AC milan ya wakati huo ilikua na majembe ya kazi.. Vitasa kama akina Nesta, Maldin, Gattuso, Cafu.. Ilikua shida

Baba lao De Lima, chenga yake ya bicycle ile alikua anawavunja viuno mabeki.. Huyu nguli atakumbukwa ila alishindwa kushinda Uefa..

Ricardo Kaka, bwana huyu mlokole alikua anaujua mpira

Kwa vijana wanaokuja..

Huyu Ousmane Dembele ni fundi wa mpira, Coutinho huyu huwa ananikosha kwa magoli yake ya mbali, Anthon Macho huyu atakuwa mzuri sana baadae, Isco Malaga fundi sana huwa naburudika nikimwona huyu kijana. Neymar jr huyu ana kipaji na juhudi, sema huwa namuona kama CR7 (sijawahi kumkubali sana)

Wengine ntaongeza baadae ila hao watu hapo mpira wanaujua ila Mungu wao Messi wengine watakuwa mitume na manabii
 
Back
Top Bottom