Weweee...... namkubali mess ila gaucho baba lao au ww umeanza kuangalia mpira 2017
Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
Gaucho was the best lakini kwenye top ten ya watu wanao dribble hayumo.. Tuwe wakweli mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weweee...... namkubali mess ila gaucho baba lao au ww umeanza kuangalia mpira 2017
Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
Weweee...... namkubali mess ila gaucho baba lao au ww umeanza kuangalia mpira 2017
Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
Gaucho was the best lakini kwenye top ten ya watu wanao dribble hayumo.. Tuwe wakweli mkuu
Embu mchekini huyu wizard kwenye hii clip.....Lionel Messi Is The King Of Dribbling
Tukubali ukweli..... Messi is merciless!!
Na ukimuomba akuletee alipo kwenye 10 bora haleti mzee. Yeyote aliomo humu jamiiforums na nje ya jamiiforums ukimuimba facts evidence and statistics hakuletei.
Hivyo tuwazoee tu.co mbaya kujifurahisha ndivyo binaadamu tumeumbwa.
Ushabiki tu usio na msingi , dinho siyo wa zamani kusema watu hatukumuona, tatizo watu ukiwaambia dinho kazidiwa wanadhani ume sema alikuwa mbovu... . Jamaa alikuwa mzuri sana ila kwa Messi hana nafasi
Mimi naona yuko kwenye top three ya wachezaji wazuri wa muda wote. Lakini Behind Pele may be same as Maradona. Kwa sababu hawa walikuwa waliweza kuisnpire timu zao kupata World Cup. Lakini kama tunaongea kuhusu this generation he is undisputed King. Nafikiri kama Pele angekuwa anacheza leo angefanya mambo makubwa kuliko Messi.

Na ndo maana inakuwa ngumu kusema nani bora wa mda wote . Mazigira ya sasa na zamani ni tofauti lakini personally Messi namuona Kama hajawahi kutokea kwa tabia na kiuchezaji /Uwezo wa uwanjani.
Baadhi wanasema uwezo wake umechagizwa na hormone za ukuaji alizokuwa anapigwa Kama sindano,
Kwamba zile hormone zinamfanya awe na machale “instincts” , awe na acceleration yan uwezo wa kupata speed kubwa kwa mda mfupi (angalia Messi vs humels wcup, hiki kitu utakiona) , wanasema zile hormone za ukuaji zinamfanya mtu awe na “pace na uwezo wa kubadili direction na kutotabilika ” kubwa, kipindi ambacho wenzake wamechoka yeye ndo anaanza dribbling , angalia magoli yake kuanzia dk ya 70 .
Kile kimo kinampa Uwezo wa kupenya sehem ngumu, angalia maradona pia ..
Kumalizia sijaona mchezaji ana timing Kama Messi na hii ndo weapon yake kubwa iwe wakati wa physic , chenga au ku-shoot.
KING LIONEL ANDRES LA-PULGA THOMAS YAKOBO MESSI aka MPALUHENGO

Pele aling'ara kipindi hicho kwa sababu sheria kibao hazikuwepo mkuu. ikiwemo offside free,, kwa sasa asingeonekana kama ufikiriavyo. Kwanza sheria zimeanza kipindi cha The Genuine Phenomenon/Diego Armando Maradona.mzee wa kuuchezea mpira atakavyo.
Hata hizo goli 1000 zicngepatikana kipindi hichi cha technologies. Sana sana angeambulia only 400 goals.
Bro uko sahihi, Lakini kumbuka wakati Pele anacheza yaani referees walikuwa wanaruhusu mambo mengi sana, mpaka atoe red card you must be nearly dead. Messi asingeweza kusurvive hata kwa misimu saba wakati wa pele anacheza. Kumbuka hata mpira hulikuwa mzito sana wanaochezea.
Leo sheria za Football zinawasaidia na kuwalinda sana wachezaji ambao ni washambulizi. Pele alikuwa extremely tough, very skillful and determined, Alijaribu vitu vingi sana ambavyo nobody else try before him. Wanasema alianzisha bicycle free kick. His mind / brain was on different level to anybody else. Hebu angalia kwanza hii video wakati wa pele anacheza.
Check out also this video, do you think messi will have survive din this environment.
Hilo nakubali , zamani viwanja vilikuwa vibovu na mazingira na care ilikuwa ndogo lakini hii siyo final judgment ya ubora wa mchezaji
Kwa upande mwingine wa fauls , fujo na kadi, nikwambie tu mpaka sasa hamna mchezaji amekuwa fair Kama Messi , dogo huwa hajiangushi, haombi faul za kijinga, hajiwekei mitego ya kuomba omba Penalt n.k .. hana janja janja hata kidogo , kwa kifupi ni fighter mzuri sana
Kwa hiyo kwa upande mwingine huwezi sema fulani ni bora kisa kacheza kipindi flani , hii ni ngumu sana
Kwa hiyo kwa upande mwingine huwezi sema fulani ni bora kisa kacheza kipindi flani , hii ni ngumu sana.
Bro, siyo kitu kigumu sana. Pele alikuwa anafanya vitu ambavyo hamna mtu yoyote ajafanya. Messi anafanya vitu Pele alivyofanya miaka 60 iliyopita.
Pele has trickery ability of Messi, Determination of Maradona, and will to win of Cristiano Ronaldo.
Bro, waweke hao watatu pamoja ndio utampata Pele.
Alishinda World Cup ya Kwanza akiwa na miaka 17, akifunga 6 goals against big teams like France and Sweden mtu mweusi wakati wa ubaguzi mkubwa sana.
1. Unatakiwa uwe mchezaji mzuri sana kuwa kwenye timu.
2. Kuwa mdogo kuliko wote, tatu wakubwa wote wawe wanakuheshimu, kukutegemea na kukusikiliza. Halafu uweze kuchukua pressure na pia to score most goals.
3. Kuchukua pressure zote na kucheza kama uko mtaani. Kanzu na vitu kama hivyo. Kwa miaka 17 you got to be genious, and he was.
Halafu angalia chini ya hiyo video watu wengi kutoka duniani wote wanavyosema wanaojua mpira (Soccer). Maoni yao.
Hapa angalia Pele na Maradona.
Angalia chini ya hiyo video watu wengi kutoka duniani kote wanavyosema.
Bro he is the greatest player ever.
Bwana charles umeanza lini kufatilia mpira??? Dah maajabu ya dunia haya!!!! Yaani unathubutu kumlinganisha King Messi na pele___tena kwa wakati huu mgumu sheria kibao!!!!
Tunakosea mno kumlinganisha King Messi na vitu vya kijinga. Tuwe wakweli wakati mwingine bwana.sio 2naongea tu
Saiz anacheza barca na timu ya taifa na kote anafanya mambo makubwa ww unataka timu nyingine ya wapi?kwanini GAUCHO anitwa MAGIC PLAYER nafikiri ukigoogle utapata majibu na ukitaka kuujua ubovu wa messi mpeleke timu nyingine ndo utajua