Special thread: Missing someone with special memories in your life

Mungu awatunze
 
Me napita tu,kuna mdada nilikutana naye kwenye group la whatsap jf kitambo hicho...alikuwa akiishi tanga nilimwelewaga sana tukaishia kupotezana tu.nimekumiss wewe dada nimekumbuka sex chat zile basi daaaah anyway maisha yaendeleee
Mambo
 
Very touching
 
Sasa turudi kwenye mada, kwahiyo kumbe humu ndani mnafahamiana eeh? Na mnakaa kimya tu hadi miaka ipite[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Watu wanafahamiana sana ingawa wanaweza wakawa hawajawahi kuonana lakini wana mawasiliano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…