Mbona nilishaitoa....wee leta yakoBado wewe utupe story zako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona nilishaitoa....wee leta yakoBado wewe utupe story zako
Mungu awatunzeUmejaaliwa mapenzi mengi hivyo sky jamani, miaka yote hiyo, mpotezee tu
Huyu nilie nae tukiachana kwa kifo ama vinginevyo, ndipo kwa mara ya kwanza nitakuwa na kumbukumbu nzuri kwa ex maana mapenzi yangu kwake na yake kwangu sijawahi kuyapata.. nampenda mno na anajua hilo, niko tayari kumfanyia chochote kwa uwezo wangu ili tu kumfurahisha yeye
Wee mbona hujaletaShusheni vitu please
MamboMe napita tu,kuna mdada nilikutana naye kwenye group la whatsap jf kitambo hicho...alikuwa akiishi tanga nilimwelewaga sana tukaishia kupotezana tu.nimekumiss wewe dada nimekumbuka sex chat zile basi daaaah anyway maisha yaendeleee
Mbona nimeleta angalia vizuri commentsWee mbona hujaleta
Very touchingAs humans, we naturally connect to people and build bonds and relationships over time. We can miss people for a multitude of reasons, but one thing is for sure, once that emotion arises, it can be hard to shake it. When you miss someone there's no denying that raw emotion. You can't get it out of your head, and it lingers, like an annoying fly buzzing around in the summertime. Missing someone is quite common, but what you do when you feel that way can vary.
This thread is special for whoever might be missing someone, tell the reason for missing and dedicate any special song that might make your emotions meaningful, whether you miss them for positive or negative reasons.
NB:Nimeanzisha huu uzi kwa sababu kumekua na wimbu kubwa la nyuzi zinazowakumbuka wapenzi wa nyuma (first love/soullmates/friends/exlovers or anyone special) nimeona ni vizuri tukawa na uzi mmoja ambao kila mtu atakua na uhuru wa kutiririka
Binafsi I miss a person I met here in JF a few years back, ingawa hatukuwahi kuonana wala kufahamiana in-person, lakini we use to speak a lot overnight through Whatsapp Calls, we spoke of life, music, work, politics, kids and everything, we fought sometimes kwa sababu ya wivu wa hapa na pale Kwa sababu ya comments za majukwaani ila was easy to resolve issues, we planned for better moments in future but all of sudden he disappeared without a single word, I am so worried about him because he is not reachable hapa JF na kwenye accounts zake za mitandao mingine. I am really worried.
wherever you are J, I pray that you are in good health. Although you walked out of my life, I will never stop missing you because my heart doesn’t want to say goodbye. Months have passed but your memories make me miss you so much, I miss that romantic and calm voice of yours, it keeps rolling deep in my ears. I only hope one day you will come back.
karibuni.
Hizi slogan tuu....ile kiwa kwenye mahusiano tuu tayari kuna expectation ya kupata mbususu au mgeggedo"If you expect nothing from somebody you are never disappointed.”
Expectations always hurt
Amina Asante sanaMungu awatunze
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ngoja mello aje hapa akupe ban ya milele
Bila sisi yeye sio melo, hivyo lazima awe na utulivu.Hahaha korofi wewe ujue
Sasa turudi kwenye mada, kwahiyo kumbe humu ndani mnafahamiana eeh? Na mnakaa kimya tu hadi miaka ipite[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]Kweli kabisaa
Watu wanafahamiana sana ingawa wanaweza wakawa hawajawahi kuonana lakini wana mawasilianoSasa turudi kwenye mada, kwahiyo kumbe humu ndani mnafahamiana eeh? Na mnakaa kimya tu hadi miaka ipite[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]
@ERoni ukuje hapa, isijepita miaka ukanianzishia uzi. Uje uniambie yote sasa hivi.Watu wanafahamiana sana ingawa wanaweza wakawa hawajawahi kuonana lakini wana mawasiliano
Akija pm uniambie maana anazurura huyu mtu hadi sio poa.Hahaha nimecheka kwa nguvu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha ukorofi basi!Akija pm uniambie maana anazurura huyu mtu hadi sio poa.
Oooh umekuja!! Haya nieleze yote ya moyoni.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha ukorofi basi!