Hapo ndipo wamama wanapokosea. Unaporuhusu mtoto kuzaa alafu anakuja hapo nyumbani kwa kweli wamama ndio wanaendeleza hii tabia ya wanawake kuzaa bila kuolewa.Aisee pressure hiyo mbaya unaweza kujikuta unaolewa na mtu siye kisa kuwaza lini utaolewa .
Atleast wamama wapo supportive hata ukileta mimba ndani... Wazee huwa hawaelewi kabisa
Kuzaa ni jambo jema tena lenye baraka .. maisha yamebadilika mno .
Tunasema kuwa ni moyo wa huruma na kumsaidia mtoto but in the long run tunaharibu jamii masingle maza ndio kama hivyo wanajaa tuu. Na wanaume pamoja na kupenda kukojolea ndani hatutaki kabisa kuoa masingle maza.