Special thread: Missing someone with special memories in your life

Aisee pressure hiyo mbaya unaweza kujikuta unaolewa na mtu siye kisa kuwaza lini utaolewa .
Atleast wamama wapo supportive hata ukileta mimba ndani... Wazee huwa hawaelewi kabisa

Kuzaa ni jambo jema tena lenye baraka .. maisha yamebadilika mno .
Hapo ndipo wamama wanapokosea. Unaporuhusu mtoto kuzaa alafu anakuja hapo nyumbani kwa kweli wamama ndio wanaendeleza hii tabia ya wanawake kuzaa bila kuolewa.

Tunasema kuwa ni moyo wa huruma na kumsaidia mtoto but in the long run tunaharibu jamii masingle maza ndio kama hivyo wanajaa tuu. Na wanaume pamoja na kupenda kukojolea ndani hatutaki kabisa kuoa masingle maza.
 
Sasa tuende wapi rafiki [emoji23] jamani nyie wanaume
Muda mwingine mama mwenye mtoto hawezi kuishi na mzazi mwenzie .. hivi haujatolewa hata mahari ukimbie kuishi nae . Haitoleta picha nzuri kabisa kwa jamii .
 
Ishu kubwa ni wanawake kutambuankuwa the biggest victim wa hii kugegedana ni wao wenyewe.

Sasa hujatolewa mahari why udame mimba. Mwanaume kama anataka kuzaa na wewe atakwambia tuu.
Inakuwa ngumu kuishi na baba mtoto kwa sababu yeye tayari ameshaje ga chuki kuelekea kwako. Kama ni kitu hakuwa tayari nacho ujue vhances that hayo mahusiano kuendelea ni finyu
 
Kweli upo sahihi ni muhimu kwa wanawake kuelewa sawa sawa ,mbaya zaidi sisi tunaendeshwa na hisia mara nyingi .

Kubeba mimba inatokea tu , sio wote huwa wamepanga wabebe ..nyingi huwa ni unplanned pregnancies .

Kwa kweli maisha ya usingo mama ni magumu sema ikitokea inabidi upambanane for the sake of the baby .
 
Kweli upo sahihi ni muhimu kwa wanawake kuelewa sawa sawa ,mbaya zaidi sisi tunaendeshwa na hisia mara nyingi .

Kubeba mimba inatokea tu , sio wote huwa wamepanga wabebe ..nyingi huwa ni unplanned pregnancies .

Kwa kweli maisha ya usingo mama ni magumu smea ikitokea hauna budi inabidi upambanane for the sake of the baby .
Ndio mkubaliane na matokeo ya kuwa single maza. Mambo ya kupata mwanaume aweke kambi ni ngumu sana.
Utaishi kigawa mbususu watu wapige basi
 
Acha tu, maisha haya ila kuna watu bado wanawaoa single mama hao .

Haijalishi umezaa bado una haki ya kupendwa .
 
Tatizo nyie mnashindwa kuelewa kuwa na wanaume nao wanapewa lresha manyumbani na mama zetu. Utaanza ugomvi na bimkubwa inakuwaje unaoa single mama...umeshindwa kupata mwanamke ambaye hana mtoto....sasa ya nini tena kuanza kuchukizana na wazazi kwa kitu ambacho one can easily avoid
 
Dah aisee pressure za wazazi noma .
Mbona wazungu wao wanaoa tu single mama .. hii ipo Africa tu nahisi .
Anyway inabidi tutiii mama zetu .
 
I just want you to know that I love you

You are the only one who have tried to love me here Jf

I don't even know you, you don't even know me

I can't explain how much your love means to me

But it means everything to me

Our little jokes on baba bulubendi they are everything

I love you Espy [emoji3531]
Cc ERoni unaibiwa
 
H akee……….. I’m speechless
umesema speechless umenikumbusha wimbo wa MJ
But I am speechless
Speechless
That's how you make me feel
Though I'm with you
I am far away
And nothing is for real
When I'm with you
I am lost for words
I don't know what to say
My head's spinning like a carousel
So silently I pray
 
Back
Top Bottom