Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

FB_IMG_1647347334811.jpg
 
Hivi kuna aliyoiona scene ya hivi karibuni ya Monica Santhiago na Richard Mann? Dah ni hatari sana Dada Monica kwa mara ya kwanza nilimuona akiwa anakimbia uwanja tena zaidi ya mara moja, kwa kweli alivurugwa sana, Yani ningepata kuona Behind scene yake dah hata hala nipo tayari kulipia.
Wengine hata hatujui huyo monica ni nani. Kweli tumepishana viwango vya uovu
 
Tabia atapigwa na mumewe atabadilika mkuu. Uzuri wa mwanamke ni tako [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 2118897
Hii kwapa ni mbovu saana... Ukipiga siku moja siku ya pili uchafu wa kwapa unaweza ukakufanya ukaiona nyumba chungu aiseee..... Kama picha na imeeditiwa ipo hivi.

Maisha yake halisi ni balaa zaidi.. tunapigwa wana
 
Uzuri nyinyi madogo mnaangaliaga mambo madogo sana utafikiri nyie mmekamilika na mtakuja kuoa malaika wasio na kakasoro hata kidogo....na wake zenu watabakia "wakamilifu" hata baada ya kuzaa watoto. Maisha katika uhalisi wake hayako hivyo...

Na sijui ni kwa nini umedhani kuwa huo ni uchafu. Kuna watu (wanaume wakiwemo) ngozi zao zinakuwa nyeusi pale panapokuwa na mgusano wa ngozi - mapajani, kwapani na hata shingoni. Hawa hata wajisafishe vipi huo weusi hauondoki. Kweli pisi kama hiyo ndo ikimbiwe kisa kwapa jeusi?

Masuala madogo madogo kama hayo ni masuala ya kurekebishana tu na pisi yako na maisha yanaendelea. Na kama hujui tiba ya kuondoa huo weusi kwenye kwapa, mapajani na kwingineko ni maganda ya limau au ndimu. Wiki 2 tu kweupeee kunang'ara! [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom