Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,882
- 16,472
Pambana mkuuDaaah wanaume tumeumbwa matesoooo!! Matesooo!!! Mahangaikoooo!!
Hayo maua tumeumbiwa sisi wanaume, na ili ua lizidi kupendeza linahitaji matunzo, lipate mbolea na maji ya kutosha.
Siku hizi kila kukicha maua mazuri mazuri yanachipuka.