ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 16,307
- 31,727
.
Hii pisi ipo Arusha. Kidogo ni ipige ila sema wasiwasi wangu ndio ulisababisha maana ilitaka niitumie hela ya nauli na kusuka kisha ije nikashtuka. Nikaipotezea japo niliongea nae vizuri tu.
Ulifanya uamuzi mzuri. Wanakulaga ela ya nauli hao na ungechezea block juu. Mimi kuna mmoja yupo zanzibar hapo. Ananiambia haji dar mpaka nimtumie nauli, halafu tumekutana tu Badoo. Nimekimbia mbio ndefu mno...Hii pisi ipo Arusha. Kidogo ni ipige ila sema wasiwasi wangu ndio ulisababisha maana ilitaka niitumie hela ya nauli na kusuka kisha ije nikashtuka. Nikaipotezea japo niliongea nae vizuri tu.