Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Hii pisi ipo Arusha. Kidogo ni ipige ila sema wasiwasi wangu ndio ulisababisha maana ilitaka niitumie hela ya nauli na kusuka kisha ije nikashtuka. Nikaipotezea japo niliongea nae vizuri tu.
Ulifanya uamuzi mzuri. Wanakulaga ela ya nauli hao na ungechezea block juu. Mimi kuna mmoja yupo zanzibar hapo. Ananiambia haji dar mpaka nimtumie nauli, halafu tumekutana tu Badoo. Nimekimbia mbio ndefu mno...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…