Mr Kactus
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 510
- 2,971
Vinaomba saaaaana ela. Usiombe kawe ka mwanachuo [emoji16] lkn ni vitamu na vinakatika balaa unaweza kumwaga mpaka maini, firigisi na bandama [emoji39]View attachment 2210330taja sifa moja ya vibinti kama huyu