alo! hili ukitaka kulila unalipekenyuaje kwa mfano.
DuhAsante mkuu. Dunia ni hii hii. Na maisha ni haya haya. Kila mtu apate ile kitu roho inapenda!
View attachment 2215420
Umenimaliza
Ila hapa nako 'WATU' Walijipigia watakavyo.Ray C aliishia wapi?
View attachment 2213302
Haya ni Matatizo haya, sio Warembo Mkuu.
Sitapungukiwa na kitu... Na kweli Bwana hajampungukia Mtumishi wake.Bwana Ndiye Mchungaji Wangu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 2213311
The same wishes to you too Friend. Shimba Ya Buyenze Mkali Wao!Happy Furahi day friends [emoji91][emoji91][emoji91]
View attachment 2213321