Huyo jamaa nshamjua, cjui alikuwa anatoa wapi zile pics mbaya vile.Hizo ndo zina quality nzuri. Kuna jamaa alikuwa anaweka picha hafifu hazina hata mvuto jamaa walimlalamikia sana....Hizi ni nzuri na unachagua unayotaka kuangalia [emoji16]
[emoji1][emoji1] ameniandama mpaka nakosa pa kupita aisee.Kamanda Mzab amekufikisha mpaka huku dah! [emoji16][emoji16][emoji16]
Daaah aiseeh
Hivi sanchoka yuko wapi sikuhizi?